makamu wa Rais aingia na kutoka Arusha

makamu wa Rais aingia na kutoka Arusha

Kuna bank ilikuwa inafunguliwa maeneo ya hospital ya st thomasi,,,alikuja kuifungua,,,inaitwa abc bank ya south afrika
 
Kuna bank ilikuwa inafunguliwa maeneo ya hospital ya st thomasi,,,alikuja kuifungua,,,inaitwa abc bank ya south afrika
bado sitaki kuamini kwamba sababu ni hii pekee.
 
huyu jamaa alikuja kufungua tawi la bank hapa arusha kwenye jengo la arusha complex( kwa salim ally) hii bank inaitwa banc abc watu waliokuwepo walimpa v na maneno ya peoplessssssss!!! Akanuna lakini akawa mvuvilivu na mwishowe alipomaliza tu ufunguzi akaishia kia

Bora wamempa ukweli. Watanzania wote sasa tuige mifano ya kaskazini, Mbeya na Lake Zone. Siku ya siku tukiungana tutashinda kwa kishindo. Mungu yu upande watum ni nani atakushinda!!! Tuungane, tuungane.
 
Back
Top Bottom