johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,524
- 142,799
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesema kwa maswala ya Bandari ilishakubalika kwamba kila upande Kati ya Tanzania Bara na Zanzibar utaendesha kwa Utaratibu wake hakuna kuingiliana
Ni Katika Sehemu ndogo sana ya mambo ya kodi ndio tunakutana ila kwenye Uendeshaji wa Bandari kila upande uko huru kivyake
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesisitiza Zanzibar Siyo Sehemu ya mkataba wa Dubai kwa sababu alizozieleza japo Juu
Chanzo: Wasafi TV