Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesema Mambo ya Bandari Tanzania Bara na Zanzibar kila upande Unajitegemea, hayaingiliani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesema kwa maswala ya Bandari ilishakubalika kwamba kila upande Kati ya Tanzania Bara na Zanzibar utaendesha kwa Utaratibu wake hakuna kuingiliana

Ni Katika Sehemu ndogo sana ya mambo ya kodi ndio tunakutana ila kwenye Uendeshaji wa Bandari kila upande uko huru kivyake

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesisitiza Zanzibar Siyo Sehemu ya mkataba wa Dubai kwa sababu alizozieleza japo Juu

Chanzo: Wasafi TV
 
Chanzo: Wasafi tv
Kwa vile mkataba una manufaa makubwa nadhani Zanzibar waanze wao kukodisha uwape manufaa makubwa
 
Makubaliano ya maneno hayana nguvu yeyote kwenye mikataba, bandari bado ni moja Kati ya mambo ya muungano, mkataba umepelekwa bungeni, utapitishwa kwa sheria za muungano na sheria za muungano bado zinatambua bandari ni mambo la muungano, hata kama bandari sio jambo la muungano kama haitawekwa wazi kwenye mikataba kuwa Zanzibar haihusiki na mikataba hii basi bado kuna tatizo.

mikataba inaingiwa baina ya Dubai na tanzania, jambo hili ni jambo la kitaifa sio Jambo la bandari pekee ndio mana limepelekwa bungeni,kama ingekuwa ni mkataba wa baina bandari ya Dubai na bandari ya daressalam usingekwenda bungeni.

Kuna kipengele kwenye mkataba ambacho kinasema dp world watapewa exclusive rights kwenye usimamizi na uendelezaji wa bandari za maziwa na bahari Tanzania,hapa haijasema upande gani wa tanzania.
Exclusive rights watazopewa maana yake watakuwa na uwezo wa kufungia bandari yeyote Tanzania, wao tu ndio wanaweza kuwa waendeshaji na waratibu wa masuala ya bandari za bahari na maziwa tanzabia

Huu ni mgogoro mpya wa muungano au kero kama tunavyoita, shida itakuaja kwenye kutafsiri sheria za mkataba,tafsiri ya Tanzania ni zanzibar na tanganyika, na mkataba unasema Tanzania, hii mikataba lazime use me wazi kuwa zanzibar haihusoki ndio zanzibar itapata salama
 
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesema kwa maswala ya Bandari ilishakubalika kwamba kila upande Kati ya Tanzania Bara na Zanzibar utaendesha kwa Utaratibu wake hakuna kuingiliana

Ni Katika Sehemu ndogo sana ya mambo ya kodi ndio tunakutana ila kwenye Uendeshaji wa Bandari kila upande uko huru kivyake

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesisitiza Zanzibar Siyo Sehemu ya mkataba wa Dubai kwa sababu alizozieleza japo Juu

Chanzo: Wasafi TV
Mkuu nn maoni yako kuhusu sakata la kuuzwa kwa bandari? Uvccm na wafia CCM ni marufuku kupinga yapitishwayo na wakuu hata kama ni hasara kwa Taifa? 🤣🤣🤣🤣 Ila utaona threads nying san mara ofis ufipa mara wachaga wapiga dili mara walamba asali!! But mamb ya msingi kuhusu mustakabali wa Taifa sasa 🤣🤣🤣🤣🤣!!
 
Kukodishwa Siyo kuuzwa bwashee 😄😄
 
Kukodishwa Siyo kuuzwa bwashee 😄😄
Wee Mzee naww umeingia chaka la kuzugwa na mkodisho 🤣🤣🤣🤣!! Unaweza nipa maan halisi ya kitu kisicho na ukomo? Yaan mfano mimi nnapokua na side chick wako yaan cna kikomo ni lin ntaacha kumtafuna hiyo inamaana kua ni wang ntaendelea kumtafuna frequently!!
 
Back
Top Bottom