Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,211
- 42,074
Teh Teh labda kamanda wa wachunga ng'ombe..au mafisadiLowasa siku hizi amekuwa kamanda..!! Kweli siasa za bongo hazina tofauti na bongo movie.
Teh Teh labda kamanda wa wachunga ng'ombe..au mafisadiLowasa siku hizi amekuwa kamanda..!! Kweli siasa za bongo hazina tofauti na bongo movie.
Sasa ulitaka mtu mchochezi aachwe?Ni uonevu tu unaofanywa na huyu dikteta kupitia mgongo wa polisiccm wa kuwaweka Watanzania roho juu wa kushindwa kukemea maovu na utendaji mbovu ndani ya Serikali hii na Serikali zilizopita.
Alifanya uchochezi kwenye hayo mahafali...Oh no! Kuhudhuria mahafali ni uchochezi wa kisiasa??
Basi haitoshangaza nchi kuzalisha wakimbizi wa kisiasa pia...
Alifanya uchochezi kwenye hayo mahafali...
Alisema nini? Kuna mwenye clip?hapana hajaonewa.uongeaji wake ulijaa hasira na akashindwa kutambua mazingira aliyopo na nafasi yake katika chadema na jamii kwa ujumla
Silly question deserve silly answer and silly comments likewise, asubuhi njemaumeanza kwa kashfa...! halafu swali na kumalizia kwa kejeli tatanishi..! hebu jipange tena
kijana hachomoki hapo....hakuzingatia nini cha kuongea kwenye public.
kiusalama alikosea sana kuongea yale maneno.sitashangaa wengine wakimtetea tena humu.mimi ni mpinzani lakini kiukweli alikosea sana kulingana na nafasi yake
Hebu wapige kidogo kwenye miguu ndio ataelewa nini cha kuongea siku nyingine. Hata Isimani alitupuuzia sana wakati wa uchaguzi na kujiona yeye ndo yeye na kutamka kauli mbofu mbofu sana kwa sisi wanaharakati.
mpinzani wewe?kijana hachomoki hapo....hakuzingatia nini cha kuongea kwenye public.
kiusalama alikosea sana kuongea yale maneno.sitashangaa wengine wakimtetea tena humu.mimi ni mpinzani lakini kiukweli alikosea sana kulingana na nafasi yake
Hebu wapige kidogo kwenye miguu ndio ataelewa nini cha kuongea siku nyingine. Hata Isimani alitupuuzia sana wakati wa uchaguzi na kujiona yeye ndo yeye na kutamka kauli mbofu mbofu sana kwa sisi wanaharakati.
hujui ukiandikacho wala hujui tukio lilivyo....! wrong thought here na sio mahara pake...ishu ni kukamatwa kwa sosopiWakati tunateseka na maradhi we we unaona Ssopi ameleta uchochezi,tunawaza juu ya jinsi tangu Uhuru tukiwa na ccm tumeshindwa kuondoa nyumba za nyasi nchi hii,wewe unawaza vijana Wa chadema wakamatwe,
Tunaishi shule zetu za msingi na sekondari hazina majisafi na salama ,wewe unalishwa matangopori,hakuna dhambi kubwa Duniani kama MTU kupoteza tunu aliyojaliwa na Mwenyezi Mungu" akili" kwa kuwa
Kama Seneta Rahm RAIA Wa USA mwenye asili ya kiisrael anasema" every challenges had its difficults but every choice have difficult decision"
Ccm na nyie vijana Wa Lumumba lazima muwaambie watwezaji wenu kuwa kujenga nchi inahitaji watu makini wasiobebwa na fikra finyu za kichama Bali taswira ya watoto wetu ,wajukuu Wa miaka 50 ijayo watakuta Tanzania IPI?
Hii hii ya wagawana mbao,au itakayokuwa inawika Duniani kwa kukopesha ,kuuza magari nje au ya washabiki Wa muziki Wa Diamond? Tafakari
muulize sosopi yawezekana analijua hilimpinzani wewe?
muulize mbowe na sosopi yawezekana wanalijua hiliAcha kutudanganya kuwa wew ni mpinzani. Mpinzani wa nchi gan wew.? Au uganda
Silly question deserve silly answer and silly comments likewise, asubuhi njema