Andindile
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 304
- 16
Ndugu wana JF kuna makampuni ambayo yanatuhumiwa kuhusika na ufisadi na ukwepaji wa kodi kwa kiasi kikubwa hadi kufikia kudidimiza maisha ya watanzania. Haya makampuni kwa nini tusiyasusie huduma zake ili nao waanze kuonja joto la jiwe kwa kupoteza wateja?