Makampuni yanayotaka kutuuzia mbegu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni yanayotaka kutuuzia mbegu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Haika, Jul 20, 2012.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Naomba kuunga mkono hoja za Zitto, hasa ya kupiga vita Genetically modified Mbegu.
  Napinga na kwa jina Kuu la Yesu zishindwe!
  Kama tunatazitaka kwa sana, basi tutengeneze kiwanda chetu.
  Ila tujue vyakula vyetu ndio basi tena tunaingia kwenye ukoloni mambo leo.
  Hivi waziri huyu amehusisha wataalamu kweli? (ambao hawajapewa motisha na makampuni haya makubwa)
   
Loading...