Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 242
- 452
Wakuu kwema, wakubwa zangu hali tete, naomba kwa anaefahamu majina ya makampuni yanayoajiri wadada kwa kufanya usafi maofisini na mahali ofisi zao zilipo anitajie nikajiunge walau nipate chochote mtaani pagumu jamani.(mkoani Mwanza pekee)
Au mwenye connection ya kibarua ktk viwanda anifahamishe
Au mwenye connection ya kibarua ktk viwanda anifahamishe