BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,509
- 14,132
Yes, wameunda umojaKwa sasa kampuni hazishindani tena ili kupata wateja (mapato),vifurushi vinafanana; inawezekana kwa umoja wao wa sasa, wanapata faida zaidi.
Wanakula kwa urefu wa kamba zao. Kwa bahati mbaya kamba za wanaokamuliwa na hawa wezi, yaani sisi wananchi, hazina urefu wowote kwa hiyo tunaliwa tukiwa tumesimama pale pale. Kweli hii serikali hii sa CCMK imeamua pesa za kununulia V8 za kutembelea wazururaji kama akina Shaka Zulu hazikosekani, ziko pale pale!Yes, wameunda umoja
Rostam Aziz anamiliki Vodacom,Tigo na Zantel. Huyu ni muhuni na muhujumu uchumi. Nape na January Makamba hawana uwezo wa kumfanya kitu zaidi ya kuwa mameneja masoko wake wanaomtetea dhulma zqkeKampuni hizi ni cartel ...ziko tatu
Wanahakikisha hakuna mwingine anaingia kushindana nao...
Hazilipi Kodi stahili ..
Walipolazimishwa kuuza hisa DSE wakahujumu mchakato..
Na aliekuwa major shareholder wa Vodacom sasa ndio mmiliki wa tigo
Obviously wamewaweka mfukoni baadhi ya Viongozi..
Wanakamua sasa to the maximum wanajua soon technology mbali mbalimbali za satellite internet zinaweza sambaa...
Rostam Aziz anamiliki Vodacom,Tigo na Zantel. Huyu ni muhuni na muhujumu uchumi. Nape na January Makamba hawana uwezo wa kumfanya kitu zaidi ya kuwa mameneja masoko wake anayemtetea dhulma zqke
Ni kwamba hakuna msimamizi makini, bungeni wamejaa wale wa ndiooo
Secret Agent wa CIA East and Central Africa akishirikiana kwa karibu na Secret Agent mwenzie King of Msoga KingdomRostam Aziz anamiliki Vodacom,Tigo na Zantel. Huyu ni muhuni na muhujumu uchumi. Nape na January Makamba hawana uwezo wa kumfanya kitu zaidi ya kuwa mameneja masoko wake anayemtetea dhulma zqke
Acha watukamue mpaka akili zikae sawaUkiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?
Mliowapa dhamana ai waliojipa dhamana? Tanzania kuna kiongozi anapewa dhamana na mwananchi? We uliona wapi?Hii nchi sasa hivi kila mtu anajipigia tu, ukienda kwenye shule binafsi hali ni hiyo hiyo, ukija kwenye vifurushi ndio usiseme, yaani hakuna wa kumsemea mwananchi, tuliowapa dhamana wanahangaika na matumbo yao tu ..
Hatuwagomei ndio maanaUkiangalia trend ya kupandisha gharama za vifurushi ni kwamba hizi kampuni zimekuja pamoja au zimeungana ili kukamua Watu. Wameunda Cartel na usishangae hata wanaweza kuta wanachangishana pesa za kuwapoza watu.
Haiwezekani speed ya kupandisha gharama iwe kubwa kiwango hiki asiee na ni kampuni zote.
Tukisema mtu kama Nape anapewa Bahasha tutakuwa tunakosea?