Makampuni ya kigeni kukwepa kodi ktk nchi za afrika,kwa njia za misamaha.

Breki sina

Member
Jun 3, 2013
96
31
Soure bbc news,kuna mjadala sasa unaendelea kuhusu kampuni za kigeni kukwepa ulipaji kodi kwa nchi za Afrika,wasemaji ni Mh Zitto,Lipumba,na kwa mujibu wa Mh Kabwe anasema tatizo ni kuwa kampuni hizi zinatumia mbinu za kihasibu kuonyesha kuwa zinapata hasara zinapokuwa zinapofanya kazi mfano anasema benki ya Afrika imeonyesha kuwa we loss 1trion kwa kampuni hizi kukwepa kodi ama kwa njia za Ufisadi,huku Mh Lipumba akisema hata nchi za Ulaya kupitia G8 wameamua kubana makampuna haya wakati sie Tanzania tunaendelea kutoa misamaha ya kodi kwenye maeneo mbalimbali huu ni udhaifu wa Serikali hivi tumerogwa na nani,nitaendelea kukujuza kinachosemwa.
 
Lipumba sio wa kumuamini, huwa anachosema sio anachoamini yeye bali kile alichotumwa!!! Hivyo hivyo anapogombea URAIS huwa anafanya hivyo kuwasaidia wenzie washinde na sio yeye ashinde!!!! He is a mercenary.
 
Mbona bungeni walishasema kuwa wametoa ile kitu iliyokuwa inaitwa tax holday sasa misamaha tena yatoka wapi
 
Back
Top Bottom