johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Karma inawatafuna.Nashindwa kuelewa jamii itake ushauri gani kwa makamishna wastaafu, wakati wananchi walikuwa wanatendewa sivyo na wao wakiwa kazini wameshindwa kuliona hilo. Sasa wataishauri vipi jamii?
Damu na dhulma za wanyonge zinawalilia.Jamii gani iwatumie, Watz niwahanga wa dhulma za jeshi la polisi watulie wasubiri muda mfupi uliobaki wait we na mola wakatoe hesabu za dhulma zao (Polisi)
Kamanda umesema kweli.Jamii gani iwatumie, Watz niwahanga wa dhulma za jeshi la polisi watulie wasubiri muda mfupi uliobaki wait we na mola wakatoe hesabu za dhulma zao (Polisi)
Najua hawa hawakujitokeza mbele za wajumbe hivyo wanahamu ya kutoa ushauri.Naona wakuu mmeamua kuikataa offer ya ushauri toka kwa ''wapendwa'' makamishna wastaafu bila kupepesa macho.
Damu na dhulma za wanyonge zinawalilia.
Naona wakuu mmeamua kuikataa offer ya ushauri toka kwa ''wapendwa'' makamishna wastaafu bila kupepesa macho.
Hapo ni Njaaaaaaaaa imewapiga, wanatafuta namna watoke vipi ???Nashindwa kuelewa jamii itake ushauri gani kwa makamishna wastaafu, wakati wananchi walikuwa wanatendewa sivyo na wao wakiwa kazini wameshindwa kuliona hilo. Sasa wataishauri vipi jamii?
Police yeyote ninaemuona huwa akili inaniambia uyu form four hakufanya vizuri.Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Aiseee watu mna roho mbaya sana!Wakaombe walishauri kundi la watu wasiojulikana maana hao ndio wanahitaji ushauri wa kidhalimu. Jamii haihitaji ushauri wao. Huyo anayesema atoe ushauri wa utalii, hakuna ushauri wa utalii unatolewa na wazee.