Makamera na picha msibani.

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Nilikua kwenye msiba leo,kumuaga baba wa rafiki yangu.
Kilicho nishangaza na kunisikitisha (sio mara ya kwanza kuona),
ni tabia hii ya kufotolewa picha msibani,
mara mwingine anapita na kamera yake ya video.

Watu hawa kwanza ni wasumbufu kupita pita mbele ya watu wanao tafakari
mambo mbali mbali katika kipindi kama hicho cha majonzi.

Pili,hii ni sawa na kuwaongezea watu machungu kila watakapo ona
picha na video hizo.Dada mmoja akiwa mbele yangu alikataa kupigwa picha,
mpiga picha alimwambia "ni kumbu kumbu tu",....kumbe sikuwa mwenyewe
ninae boreka na tabia hii.
SIIPENDI.

Sijui nyie mme izoea vipi au mnaichukuliaje.
 
Kama kuna photo phobia
basi mie ninayo
napiga picha when necessary

Afu wanachoniudhi wapiga picha ni kukulazimisha kukupiga picha
tena ukimwambia hutaki ndo anakuwa kila saa anakuwinda.

huwa naboreka sana.
Misibani nako huwa nawaza
sijui hizo picha mtaziangalia lini
wakati mwingine unakuta na mwili unafotolewa kweli, dah!
 
Inaonekana kuna watu wanapenda lakini.
Kuna mtu niliwahi mtembelea nikawa nimeangalia picha,akaniletea
albam nyingine,nashukuru Mungu alinambia mapema "hii ni albam ya msiba wa mama".
Sikuangalia hata picha moja.

Kumbe hadi marehem wana mpiga picha?
This is too much.
 
I don't believe in picha Misibani.... Wakati tumefiwa na babangu (May he rest in peace) tuligoma kabisaaaa HATUTAKI Picha yoyote ile. Bahati mbaya ni kwamba unapokua kwenye majonzi huwezi anza bishana na wanaosimamia msiba badala ya kukalisha chini tokana na hali ya majonzi... Wakalazimisha na kuweka Mpiga picha na Camera Man ya the whole Process.. Tuliboreka mno!! Msiba ulipoisha tukaletewa Albam na Video... Walipo ondoka Mamangu akachukua albam na video akaanza kutazama, it did not take long akaanza upyaa kumlilia mumewe.... Baadae akavichukua na kuvitia mafuta na kuvichoma. Nyumbani tuna baadhi ya videos kuna babangu ndani... ana miaka saba chini sasa... Na hadi leo bado nakusanya guts za kuangalia zile video.... I still do not have the energy nahisi kufa nikifikiria kumuona na I can talk to him. Picha za Uhai wake I can stand... sio video...

HOWEVER.... Ni nzuri sometimes for ukiwa umefiwa huoni watu woote wanaofika pale, Mkanda waweza kupa picha halisi ya watu walofika pale. Ukiangalia waweza kua surprised wale ambao hukuwategemea walifika... Ingawa bado I am not conviced kua ina umuhimu wowote ule!
 
Pole sana AD.
Haina umuhimu aisee,labda kama unataka kulia for the rest of
your life,au kama una hamu ya kulia na hauna cha kukuliza ndo
utafute cd za msiba uangalie,sijui nani hua ana waleta watu kama
hawa msibani,hawajali hata ustaarabu.

Kama huyu aliye kuwa anachukua video leo,alikuwa anapokea simu mnaona kabisa
kwamba anaongea na simu (japo hamsikii) mbele yenu dah.
 
Na sababu msiba unakua hauwahusu hua wanakua very very impersonal, hana majonzi... na simshangai, hivo usishangae akapokea simu na akacheka....
 
Pole ADI,

Na ujanja wangu wote, msiba huwa ni mwisho wangu. Hata ndugu wanavyoenda kumtazama ndani yaani mie huwa nataka kuchanganyikiwa. Siwezi angalia picha kabisa, I just can't.

I would rather hold on the good memories.
 
Angalau kidogo steel picture tena chache sana zinakubalika kwa ajili ya baadhi kumbukumbu, nakumbuka mwaka 1997 nikiwa ughaibuni nilifiwa na kaka yangu ninayemfuata it was so painful na sikuweza kurudi Bongo kuhudhuria mazishi kutokana na sababu za kiuchumi, Niliporudi nyumbani kwa mara ya kwanza nikazikuta kumbumbuku chache steel picture.

Lakini kifo cha kaka yangu mwingine ambaye ni fist born wetu kiliniuma zaidi maana huyu bro tulikuwa tunapiga box wote kiwanja lakini alipatwa na kidney failure ambayo ilimtesa sana akiwa katika maisha ya ugenini kulazwa mwaka mzima katika nchi ya kigeni it was realy hard kwangu, sasa kuniambia niangalae video au hata picha za huyu kaka yangu for know is more than pain, i don't have any Brother and i remain Men alone. it's really hart & sad.
 
Kwa kweli huo utamaduni mie umenipitia kando. Wakipiga mapicha siyachukui hata 1, wala mavideo huwa nawaachia hapo hapo. Sipendi ila watu wengine sijui wanawazaga nini kupiga mapicha hayo hadi marehemu alivyolala kwenye jeneza??? :thinking::A S 27:
 
Ah mie sipendi na sioni kama ni vizuri kwani unapo angalia hiyo CD unajitia tena majonzi .....
 
Kiukweli hata mimi nimekuwa siipendi hii Fashion, Japo haina maana kwamba napinga wanaopenda kuweka hii kumbukumbu, Kwangu mimi Sipendi kuwa na kumbukumbu za kuhuzunisha, Kumbukumbu Aliyonayo mtu kwa Marehemu hakiwa hai inatosha sana,Kuwa na Picha ya Marehemu pale akiwa kwenye Jeneza inakumbusha Kifo chake kila unapoiona. Mimi ndio mtizamo wangu huo.
 
Kama kuna photo phobia
basi mie ninayo
napiga picha when necessary

Afu wanachoniudhi wapiga picha ni kukulazimisha kukupiga picha
tena ukimwambia hutaki ndo anakuwa kila saa anakuwinda.

huwa naboreka sana.
Misibani nako huwa nawaza
sijui hizo picha mtaziangalia lini
wakati mwingine unakuta na mwili unafotolewa kweli, dah!

mbaya zaidi mkiwa kinondoni wanaziweka zile picha zetu chini ili kila mtu aliepigwa anunue picha yake ikibaki wanaziacha pale makaburini loh
 
Back
Top Bottom