Makame Mnyaa Mbarawa in brief

Wadau kwa kifupi huyu ndo Prof. Makame Mbarawa. The guy looks really good, ngoja tusubiri huko bungeni, labda atabadili sura ya researches nchini.

Professor Makame Mbarawa is a holder of a MSc Marine Engineering degree (Astrakhan State Technical, University, Astrakhan- Russia, 1992) and PhD of the University of New South Wales, Sydney, Australia (1999). He joined Tshwane University of Technology, Pretoria, South Africa as a Senior Lecturer in the Department of Mechanical Engineering. He was promoted to the position of Associate Professor in October 2005 and finally to that of Full Professor in July 2009. Professor Mbarawa's research interests are combustion of gaseous, Flue gas desulphurization, Filtration combustion in porous media; Soot formation in laminar diffusion flames; Alternative fuels and Renewable energy resources; and Biomass combustion. Over the years, Professor Mbarawa has published 45 of articles in national and international journals and presented 36 scientific papers in various conferences.

Kama una more info zilete hapa tuweze ku justify uteuzi wa JK.

wajuzi nijuzeni hii porous media;
 
Kumbe vyuoni tunafundisha virefu vya mane no,,kama SADEC,,unapo waita wazembe viongozi walioshindwa kutoa kirefu cha hilo neno lazma utambue vyuon kuna shahada nyngi kam Bsc.civil Eng,mechanical Eng.sas cjui unaanzaje Kuwait wamedesa watu kam hao
 
Wadau kwa kifupi huyu ndo Prof. Makame Mbarawa. The guy looks really good, ngoja tusubiri huko bungeni, labda atabadili sura ya researches nchini.

Professor Makame Mbarawa is a holder of a MSc Marine Engineering degree (Astrakhan State Technical, University, Astrakhan- Russia, 1992) and PhD of the University of New South Wales, Sydney, Australia (1999). He joined Tshwane University of Technology, Pretoria, South Africa as a Senior Lecturer in the Department of Mechanical Engineering. He was promoted to the position of Associate Professor in October 2005 and finally to that of Full Professor in July 2009. Professor Mbarawa?€™s research interests are combustion of gaseous, Flue gas desulphurization, Filtration combustion in porous media; Soot formation in laminar diffusion flames; Alternative fuels and Renewable energy resources; and Biomass combustion. Over the years, Professor Mbarawa has published 45 of articles in national and international journals and presented 36 scientific papers in various conferences.

Kama una more info zilete hapa tuweze ku justify uteuzi wa JK.

Amepengiwa kazi ya kutengeneza mitaro ya kilimo cha umwagiliaji
 
Tatzo mmekuwa mkidis bila kufnya uchunguzi,,kama mmefuatilia kw makin,,mawaziri wote ndo taaluma zao katka izo wizara,tofaut na hop a wali,,Engineer anapewa wizara isiyo ya taaluma take,,salsa prof.mbalawa ndo pake hpo,prof.mhongo mahala pake pia,,xema pollen mana wajomba,shangazi,binamu zenu wametemwa.
 
Hii habari ya shule inanichanganya sana, sikuhizi watu hawasomi wanadesa tu! jana wabunge wanajinadi wamesoma wana masters wame zurura nje ya nchi vyakutosha lakini wana ulizwa kirefu cha SADEC hawana uwezo wakujibu, SADEC ina jumuisha nchi ngapi Hakuna jibu, Majukumu ya SADEC niyapi hakuna jibu, SADC ilianzishwa nchi gani hakuna jibu. Hawa niwabunge tena wanajinadi kusoma sana na uzoefu wa kuzurura nchi zawatu.Sasa mioni sielewi watu sikuhizi wana somaje na una enda kugombea nafasi ya uwakilishi SADEC wakati hata hujui hicho ni kitugani na majukumu yake ni yapi. Hapo sielewi

Mkuu kama swali waliulizwa SADEC na SADC kweli lazima wachanganye
 
ni wa chama gani?

sasa msomi kama huyo ndo anamuingiza tena kwenye siasa ili akauteketeze kabisa usimi wake kama akina sarungi na kapuya? dah, japo alitutosa watanzania baada ya kusoma akakimbilia south kuchapa mzigo, lakininasikitikia another wastage of talents


Kapuya ana Phd ya kitu gani?
 
Back
Top Bottom