Makame Mnyaa Mbarawa in brief | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makame Mnyaa Mbarawa in brief

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mamanalia, Nov 17, 2010.

 1. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau kwa kifupi huyu ndo Prof. Makame Mbarawa. The guy looks really good, ngoja tusubiri huko bungeni, labda atabadili sura ya researches nchini.

  Professor Makame Mbarawa is a holder of a MSc Marine Engineering degree (Astrakhan State Technical, University, Astrakhan- Russia, 1992) and PhD of the University of New South Wales, Sydney, Australia (1999). He joined Tshwane University of Technology, Pretoria, South Africa as a Senior Lecturer in the Department of Mechanical Engineering. He was promoted to the position of Associate Professor in October 2005 and finally to that of Full Professor in July 2009. Professor Mbarawa’s research interests are combustion of gaseous, Flue gas desulphurization, Filtration combustion in porous media; Soot formation in laminar diffusion flames; Alternative fuels and Renewable energy resources; and Biomass combustion. Over the years, Professor Mbarawa has published 45 of articles in national and international journals and presented 36 scientific papers in various conferences.

  Kama una more info zilete hapa tuweze ku justify uteuzi wa JK.
   
 2. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyu atakuwa ni opportunist as usual..
  Yaani amekuwa professor mwaka jana tuu, tayari mwaka huu amesharukia kwenye siasa na kugombea uwakilishi!!
   
 3. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni wa chama gani?

  sasa msomi kama huyo ndo anamuingiza tena kwenye siasa ili akauteketeze kabisa usimi wake kama akina sarungi na kapuya? dah, japo alitutosa watanzania baada ya kusoma akakimbilia south kuchapa mzigo, lakininasikitikia another wastage of talents
   
 4. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Au ndiyo ushawishi na chaguo la Bilal, maana wanatoka eneo moja na profession zao zinalandana..
  Anyway, ni maono yangu tuu!!
   
 5. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  He is CCM.

  Though I hate CCM bt I v liked this guy's CV. Congrats to him. tunamkaribisha kwa wapiganaji.
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  ..kila aliyeingia CCM ameishia kuwa MWIZI tu.
   
 7. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii habari ya shule inanichanganya sana, sikuhizi watu hawasomi wanadesa tu! jana wabunge wanajinadi wamesoma wana masters wame zurura nje ya nchi vyakutosha lakini wana ulizwa kirefu cha SADEC hawana uwezo wakujibu, SADEC ina jumuisha nchi ngapi Hakuna jibu, Majukumu ya SADEC niyapi hakuna jibu, SADC ilianzishwa nchi gani hakuna jibu. Hawa niwabunge tena wanajinadi kusoma sana na uzoefu wa kuzurura nchi zawatu.Sasa mioni sielewi watu sikuhizi wana somaje na una enda kugombea nafasi ya uwakilishi SADEC wakati hata hujui hicho ni kitugani na majukumu yake ni yapi. Hapo sielewi
   
 8. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180

  hivi ni mgombe gani alishindwa kujibu hilo swali??
   
 9. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa anaweza kumdharirisha huyu mzee kwa kumweka kwenye UBUNGE wa CCM usiokuwa natija!
  Kama hatapewa uwaziri basi huyu prof. atakuwa amedharirishwa sana na bora aachane na huuuuuu ubunge wa mezani.
  Na waheshimu Engineers ni watu wachapakazi sana kabla hawajachakachuliwa na ujinga wa CCM!
   
 10. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa umenivunja mbavu!!
  Duh..kama ni hivyo basi hali ni mbaya sana..yaani kwa lugha nyingine tupo ICU..
   
 11. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ninamfahamu vizuri tu Prof Mbarawa Tuko naye hapa Tshwane University of Technology (TUT) ni mtu mchapakazi na anaheshimiwa sana wanafunzi wake pamoja na colleagues.

  Sula la yeye kuingia kwenye mambo ya siasa siwezi ku-comment kwa sasa, tungoje vimbwanga vyake huko Bungeni.
   
 12. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2010
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Sasa na wewe mkuu hapo juu kuiita SADEC badala ya SADC tuitaje?

  Nafikiri kwa wabunge kugombea bunge la SADC na kushindwa kujibu basic questions about SADC ni tatizo kubwa mno. Inaweza kuwa ni matokeo ya watu wanaotaka kwenda kwenye nafasi sio kwa lengo la kazi bali posho au ni matokeo ya kutundika vyeti ukutani baada ya kumaliza na kusahau shule kabisa.

  Hamna excuse kabisa kwa hawa waheshimiwa kushindwa kujibu hayo maswali rahisi wakati uamuzi wa kugombea ulikuwa wao wenyewe.

  Waheshimiwa wajifunze angalau namna ya kutumia Wikipedia kwa ajili ya references za haraka haraka.

  Hongera prof. kwa kuteuliwa kuwa mbunge.
   
 13. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  This is missuse of manpower!!!!!!!!! Ndani ya sisiemu utegemee atafanya nini zaidi ya kuwa "ndiyo bwana" Kama huamini ngojea session za bunge zianze kama utamsikia!!!!!!!!! :evil:Tena huyu ndiyo atanywea usiseme!!!! Brain za kazi ziko CDM-jopo la wanasheria tangu Dr.(PHD) wanaosoma between the lines makabrasha yote ya bunge overnight na the following day kulipua mabomu yasiyopelekeka mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Pipooooooooooos Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasssssssssss
   
 14. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu Prof amepata green pasture atulie ale, asitafute mengi anaweza kukosa yote. Naona kuna hatari ya kumnyang'anya Pombe wizara ya samaki!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. emmathy

  emmathy Senior Member

  #15
  Nov 17, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nilichogundua usomi au cv kali si tija kwenye siasa kwani kabla yake wapo maprofesa tuliowategemea kuleta maendeleo kwa wananchi wameishia mitini nakuanzisha miradi yao, CV kali au UPRROFESA wenye maana ni ule unaowasaidia unaowatumikia (wananchi),
  Hawa wasomi wa enzi za Nyerere wanaanza kunitia wasiwasi....Tutafanya research kuona wale wa enzi za Nyerere na wasikuhizi niwakina nani wana tija,maana ndio tulipofkia sasa kupima usomi na uwajibikaji
   
 16. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  MAANDALIZI YA MGOMBEA URAIS 2015 TOKA ZNZ.
  CCM Hawapati pa kupumulia; ni mitego baada ya MITEGO.
  Wamewatumia Wa-ZNZ kuongoza SHURUTI la Kumng'oa Six, WAKAFANIKIWA. Waliowatumia wa-ZNZ ni kambi ya wale wanaoutaka Urais 2015 kwa udi na uvumba. Sasa ghafla na Wa-ZNZ wanaanza kushurutisha kwa mtindo ule ule wa VITISHO wanataka WAANDALIWE MTU wa Kumrithi JK. Hii inatookana na utaratibu usio rasmi ambao 2015 ni Zamu ya ZNZ lakini pia ni SIYO zamu ya MWISLAMU
   
 17. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani huyu amuoni kuwa tayari ni waziri! Siyo huyu tu, hata hao wengine wawili alioteuliwa nao kuingia bungeni. Bila shaka kesho itakuwa zamu ya wateule wa Tanzania bara watakao ukwea uwaziri.
   
 18. t

  twa121 Member

  #18
  Nov 17, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....du, angekuja kwenye vyuo vidogo eg.DIT akawapa watoto elimu, ningefurahi.

  NIMENUNA KUSKIA KARUDI BONGO AWE MBUNGE, STUPID CCM!
   
 19. V

  Vumbi Senior Member

  #19
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa akipewa uwaziri wa nishati na madini anaweza kutusadia, hasa katika sector ya nishati mbadala. Akibaki kuwa mbunge tu ni matumizi mabaya ya mtaalamu may be CCM wanamikakati ya 2015.
   
 20. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  mimi namshangaa, ndiyo sababu nimem-brand kama opportunist anae elekea kuwa looser.. Nadhani alihitaji muda zaidi kwenye profession yake..Jamani, sometimes, profession ina raha zake.
  Amejitosa kwenye kinyanganyiro cha uwakilishi kwao Pemba--wamemtosa--Sasa amekumbukwa, anaenda kuwa chini ya command ya akina Makamba et al. Makamba na publications wapi na wapi!! huko hakuna hayo--muhimu kwao ni majungu, uongo, uzandiki, uchakachuaji, umafia, na yanayofanana na hayo!!
   
Loading...