Makamba yu njiani kujiuzuru?

Makamba yu njiani kujiuzuru?

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
72,852
Reaction score
103,715
taarifa zilizonifikia hivi punde kuna ushawishi mkubwa kutoka NEC juu ya Makamba kutoendelea na wadhifa wake wa Ukatibu Mkuu! Mkutano wa NEC ulio mbioni kufanyika huenda utamtema kutokana na vuguvugu kubwa la kumtaka aachie ngazi haswa kuhusiana na sakata la Arusha! Tega sikio kuskia zaidi
 
duu.. haribu haribu yake ndio ilikuwa inasaidia .... tuombe mungu wamweke kilaza mwingine kama Chiligati
 
Daah bora aende...ila sitashangaa akipewa ubunge wa kuteuliwa..mana hapa ni kubebana kwenda mbele....
:smile-big:
 
Nenda mwana wa kwenda! Ukirudi una moyo!
 
hakuna mwenye ubavu wa kumwondoa huyo mzee,ccm ni chama cha ajabu sana wanauoga wa kufa mtu hata kwenye vikao vyao ukionekana unapingana na meza kubwa utashughulikiwa,ni hoja gani imewai kuletwa nje ya agenda mtoaji akabaki salama?ukiona hoja imetoka nje ya agenda na ikabarikiwa ujue ilikuwa ni yao ila wanazuga,mfano mwaka jana suala la sita kumvua uanachama.
 
Makamba akitoka itakuwa pigo kwa upinzani!!

Hakuna mpinzani anaweza kubomoa ccm kama makamba
 
Bora wamuache ili tuendelee kupata uhondo na chichiem izidi kujimbia kaburi
 
Hakuna wa kumtoa pale,hayupo kabisa;kazi za chama (sio za maslahi ya nchi) anapiga vizuri kulingana na position yake
 
awepo tu,nadhani atawasaidia ccm kufa mapema zaidi
 
Makamba huwa namuombea kila siku aendelee kuwepo ili amlizie kazi yake ya kuiua CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom