Makamba: Tunashangaa ZEC kufuta uchaguzi

Makamba: Tunashangaa ZEC kufuta uchaguzi

mbikagani

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
3,107
Reaction score
1,782
Akihojiwa na BBC Swahili, January Makamba amesema na wao(CCM) wanashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.

Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana CCM haifahamu kinachoendelea ZEC?

Makamba, Mungu hapendi dhuluma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.
 
Mpumbavu mkubwa huyo kenge kabisa hashangai yeye kuchaguliwa kwa kura 17000 afu mgombea wa urais anachaguliwa kwa kura zaidi ya 30000. pumbavu kabisa utafikiri pua zao zinaangalia juu.
 
Tume ya Uchaguzi Znz inakihujumu Chama cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya Uchaguzi znZ huku Dr.Shein akiwa anaongoza. Tume ya Uchaguzi znz iwajibike au kuwajibishwa na Dr.Shein kwa hujuma hii ya wazi!
 
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.

lowasa ni mzee wa mikakati,usikute mwenuyekiti wa ZEC kapigwa pesa ndefu aharibu ili uchagiuzi ufutwe,,,,nyie hamshangai lowasa anajifanya hajui kuwa zenj wamefuta uchaguzi,,,,,,,,
 
Hata kutangaza kukata rufaa majimbo 4 bara et na wao waonekane wameonewa na time kumbe ni ujanja tu.
 
Tume ya Uchaguzi Znz inakihujumu Chama cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya Uchaguzi znZ huku Dr.Shein akiwa anaongoza. Tume ya Uchaguzi znz iwajibike au kuwajibishwa na Dr.Shein kwa hujuma hii ya wazi!

Muwe mnajiongeza kidogo. Unadhani ZEC wangeufuta uchaguzi huu kama mambo yangekuwa shwari kwa CCM? Uamuzi wa kuhesabu kura vituoni umemuwa mwiba mchungu kwa CCM na Maalim aliwashtukiza pale alipowapa data zote kama zilivyo vituoni.
 
Alipata zero, uwezo wake ni mdogo sana. Na ndo maana nam.t.omb.aga dada yake mwamvita
 
Nani aliyewahi kupanda Mahindi akavuna bamia? Mbegu ya hindi itazaa hindi tu
 
I don't believe that sucker one bit.

He is just playing dumb.

Everybody and their mama know whom NEC and ZEC take their cues from.

After all, they [CCM] created them both.
 
Tume ya Uchaguzi Znz inakihujumu Chama cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya Uchaguzi znZ huku Dr.Shein akiwa anaongoza. Tume ya Uchaguzi znz iwajibike au kuwajibishwa na Dr.Shein kwa hujuma hii ya wazi!

Hahahahah nimecheka sana aiseee
 
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.

CCM & NEC & ZEC wote hawa bench lao la ufundi lilipigwa ganzi kuna muona fulani Mungu aliwapiga upofu wakapanic, wakakurupuka sasa wamelikanyaga sasa wanahaha macho yamewatoka wanaangalia jinsi gani ya kufuta huo waraka wa uyo mtu wa ZEC mbaya zaidi uyo mtu wa ZEC ameorodhesha na sababu za kuufuta uchaguzi. Ukizifuatilia zile sababu tayari kupitia zile sababu ata zile kura za JMT nazo ni batili
 
January ndio ameharibu uchaguzi huu... Lowassa MFUNGIE KAZI HUYU KIPARA..!!

I hope Lowassa atamshikisha adabu huyu dogo...!!
 
Mungu alishawachia ya kaisari muyamaliE wenyewe.
 
Back
Top Bottom