kirimirimi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 287
- 194
Hata kama siasa ni uongo uongo basi ndio mpitilize kiasi muone dhuluma na uongo ndio mfumo wa maisha yenu, hapana tussikufuru tumuogope mungu japo kwa kiasi kidogo.
Tunaweza kuwadangaya watu frani kwa kipindi frani uwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote
Kuna taka na taka ngumu,huyu yupo kwenye kundi hilo la pili,eti ndiye proffessional mastermind wa uchakachuaji ccm!! Poor him
Ila huyu jamaa km vile hafikirii bali anawezaAkihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.

Ukishashiba basi ata maneno ya kuandika hunakosa.lowasa ni mzee wa mikakati,usikute mwenuyekiti wa ZEC kapigwa pesa ndefu aharibu ili uchagiuzi ufutwe,,,,nyie hamshangai lowasa anajifanya hajui kuwa zenj wamefuta uchaguzi,,,,,,,,
MKUU Lowassa ni nani nchi hii hata amfunge makamba?January ndio ameharibu uchaguzi huu... Lowassa MFUNGIE KAZI HUYU KIPARA..!!
I hope Lowassa atamshikisha adabu huyu dogo...!!
Kimbea tu hiki ckipendi ka nin cjui cha wapi vle?
hata mimi nawashangaa zec..ccm tulikua tumeshinda tayari
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.
lowasa ni mzee wa mikakati,usikute mwenuyekiti wa ZEC kapigwa pesa ndefu aharibu ili uchagiuzi ufutwe,,,,nyie hamshangai lowasa anajifanya hajui kuwa zenj wamefuta uchaguzi,,,,,,,,
akihojiwa na bbc swahili, january makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa zec kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, ina maana ccm haifaham kinachoendelea zec?