Makamba: Tunashangaa ZEC kufuta uchaguzi

Makamba: Tunashangaa ZEC kufuta uchaguzi

January ndio ameharibu uchaguzi huu... Lowassa MFUNGIE KAZI HUYU KIPARA..!!

I hope Lowassa atamshikisha adabu huyu dogo...!!

mshauri kwanza apiganie afya yake kabla ya kuingia kwenye anga za makamba...akithubutu kwa huyo dogo nakuhakikishia hakuna hata panya ataesalia ndani mwake
 
mshauri kwanza apiganie afya yake kabla ya kuingia kwenye anga za makamba...akithubutu kwa huyo dogo nakuhakikishia hakuna hata panya ataesalia ndani mwake

Acha uoga mama mdogo
 
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.
asidanganye
 
Ukawa wakipitia list ya waliopiga kura walio tikiwa kwnye list kwa kila kituo wataona maajabu naamini idad ya kura itazidi list napenda ujumbe huu umfikie mtatiro na wenje wakiwa mahakaman wawe na hii fact kwa kila kituo na wengine kwenye udiwan
 
Mnafki tu huyo.
Anashangaa nini wakati CCM ndio waliofuta hayo matokeo?
 
Katika hali ya kawaida, CCM bara na hata mgombea wa urais wa JMT mh. John Pombe Magufuli, hawawezi kufurahia kitendo cha ZEC kufuta matokeo. Mawazo yote yapo kwenye kutangazwa mshindi na kuapishwa!
 
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.

Janja ya nyani?
 
Tume ya Uchaguzi Znz inakihujumu Chama cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya Uchaguzi znZ huku Dr.Shein akiwa anaongoza. Tume ya Uchaguzi znz iwajibike au kuwajibishwa na Dr.Shein kwa hujuma hii ya wazi!

fisiemu na nyie mnalalamika?
 
ndo mana Sugu alisema "men lid women lie but number dont lie"
ona jins ccm leo wanavyoumbjka.. ndo mana unaambiwa ukiwa muongo unatakiwa uwe na kumbukumbu
 
Mpumbavu mkubwa huyo kenge kabisa hashangai yeye kuchaguliwa kwa kura 17000 afu mgombea wa urais anachaguliwa kwa kura zaidi ya 30000. pumbavu kabisa utafikiri pua zao zinaangalia juu.

Kaka usioneshe hasira kali sana, maana unanipandisha mizuka hapa naweza jikuta nipo segerea
 
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.

What a joke?
Yaani huyu naye ni sehemu ya Viongozi watarajiwa wa Serikali ya Lumumba kwa goli la Mkono!
Tumeanza na Mungu na tunamaliza na Mungu na anayeelewa atakuwa mpaka sasa amelewa Dua Maana yake na faida yake nini ?
Eti na wao wanasikitika ZEC kufuta matokeo! Amejiuliza nani kashinikiza ZEC kufanya hivyo?

Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.
Sijui anajiamini nini yule kijana
 
Huyu jamaa anaigiza mambo ya kwenye movie, ngoja tuone mwisho wake
 
Yaani huyu jamaa ni mnafiki mpaka basi,anatufanya wote tunaakili fupi km zake,ningekuwa nalaani ningelaani apate ulemavu usioweza kuppnyeka mpaka anaingia kaburini
 
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.

Huyo jamaa mnafiki kama baba yake.

Ama kweli nyoka hazai mjusi.
 
Huyu jamaa ndio ataleta machafuko na mauaji kwa kauli zake
 
Akihojiwa na bbc swahili, January makamba amesema na wao(ccm) wa nashangaa ZEC kufuta uchaguzi japo walikuwa wanaongoza ingawa kwa ushindi mwembamba.
Makamba anapaswa kuona aibu kwa matamshi haya, Ina maana ccm haifaham kinachoendelea ZEC?
Makamba, mungu apendi dhuruma. Acheni janjajanja isiyo na msingi.

Habari wakuu,

Leo mapema kidogo, January Makamba ambae ameongea kwa niaba ya chama cha mapinduzi. Ameongea na waandishi wa habari na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo vurugu au fujo.

Makamba: Kujaribu kuwahamasisha vijana waingie mtaani, wafanye vurugu, wafanye fujo haikubaliki hata kidogo, taifa letu sisi ni zaidi ya hitaji la madaraka la mtu mmoja mmoja, amani ya nchi yetu ina thamani kubwa sana.

Wenzetu wa UKAWA wana haki ya kulalamika wanavyotaka usiku na mchana lakini hawana haki ya kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa kuwahimiza vijana, kuwapanga vijana, kuweka mipango watu waingie barabarani, waandamane, wafanye vurugu, waharibu mali za watu, wasimamishe shughuli za watu wengine kama nchi hatuwezi kukubali hili jambo.

Tunawaomba watanzania waendelee na shughuli zao kama kawaida na huku kila mmoja akitambua wajibu wake wa kulinda amani wa nchi yetu.

Mwisho kuna hili suala la kuahirisha uchaguzi wa Zanzibar tumelipata hivi karibuni, sisi sio wasemaji wa tume, tume ya uchaguzi wa Zanzibar itatoa kauli yenyewe kuhusu sababu zilizopelekea uchaguzi huu ukasimamishwa ambacho tunafahamu sisi ni mambo mawili.

Kwanza mamlaka ya kisheria ya kuahirisha, kusimamisha au kufuta matokeo ya uchaguzi wanayo tume ya uchaguzi ya Zanzibar wanayo mamlaka hayo kisheria na sababu za kufanya hivyo wanaweza kuzitoa wenyewe.

Pili kuahirisha uchaguzi Zanzibar hakuna mahusiano yoyote na uchaguzi wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, chaguzi hizi zinaendeshwa na tume mbili tofauti, matokeo ya Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa upande wa Zanzibar ni matokeo halali kwa sababu yameendeshwa katika utaratibu na tume tofauti.

youtube video
 
Back
Top Bottom