Makamba toka achaguliwe Wizara ya Nishati, Rukwa hatuna umeme

Genius Mzee

Member
Jul 29, 2021
50
222
Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24.

Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku.

Inawezekana magenge ya wezi na mafisadi ya umeme yamerudi.

Ni siku ya 5 Sasa Rukwa hatuna umeme wa uhakika jamani hii sio haki hata kidogo.

Poleni sana wanafunzi mnajiandaa na mitihani mwaka huu.
 
Mlitaka tunaouza majenereta tukale wapi? Biashara ya majenereta inapaswa kurudi kwa Kasi
 
Duh, rukwa kubwa mzee, upo sehemu gani hapo ili niwasiliane na watendaji wetu wa tanesco kuondoa usumbufu uliojitokeza!
 
Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24.

Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku.

Inawezekana magenge ya wezi na mafisadi ya umeme yamerudi.

Ni siku ya 5 Sasa Rukwa hatuna umeme wa uhakika jamani hii sio haki hata kidogo.

Poleni sana wanafunzi mnajiandaa na mitihani mwaka huu.
Kaja na mpango wa kuuza tanesco.. kwa hivyo nafikiri lazima shida iongezeke kuhalalisha mpango wao.
 
Back
Top Bottom