Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,072
114,561
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
 
Tulia tulia; wacha mcheche! Fuatilia haya mambo kwa kituo wacha mihemuko na ushabiki mandazi; mwachie JPM na MKM wanajua wanachofanya; wape muda; wewe huna taarifa za kutosha; sikilizia l!
 
Kama ni hivyo basi picha za kwenye news hazijamwoyesha bi ndalichako pia! Mbona hujasema nae analindwa? Subiri news tu kwa kweli
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
Mbona ni mawiziri tu ? Wabunge je ?
 
Huyo Ndiye Mkuu Wa Timu Yake Ya Tehama, Ilivyokuwa Pale Mlimani City "Wakihesabu ", Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu!! Hakuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kumfuta Kazi, Iwe Serikalini Au Ndani Ya CCM!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom