Makamba 'anataka kumuua mama yangu'

Makamba 'anataka kumuua mama yangu'

Mizizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,275
Reaction score
391
Wadau wa JF, yapata siku kama ya 3 au ya 4 leo, nikipita pale Fire, ukitokea magomeni, mkono wa kushoto kwenye ukuta wa shule ya jangwani kuna maandishi yanayosomeka, "MAKAMBA ANATAKA KUMUUA MAMA YANGU" maandishi hayo yameandikwa sehemu tatu tofauti kwenye ukuta huo. nashindwa kupata majibu ya haraka juu ya maandishi haya. kuna uwezekano yakawa na maana kubwa zaidi, sidhani ni ya kupuuzia.

Nawasilisha
 
Sijui kama kweli tuna vitengo vya intelijensia au vipo kwa jili ya mshahara tu, sielewi na siamini kwamba maneno kama hayo yanayomtaja mtu kama huyo yaachwe hivi ivi, asante kwa kuwa mchunguzi, nilikuwa nampigia Kovu, sorry Kova naona simu yake inaita bila majibu ila kwakuwa naishi jirani naye hapa mtogole nitamonya baadae.

Nice observation, keep it up mpwa.
 
............hatuna utamaduni wa kuzuia matatizo ila kushughulikia consequences au outcomes zake tena at very late time in a fire brigade fashion!!! something need to be probed urgently! kama Makamba anataka kumuua mama yake kwa nini na yeye asifanye mkakati wa kumuua Makamba maana katika fani ya vita inasema 'the best way to fight is to strike before you're struck'. Naisihi hii wing ya usalama wa CCM oohps sorry usalama wa Taifa waishughulikie hiyo haraka.
 
Ni vichaa hawa wanaoandika kwenye kuta za majumba na mabarabarani...A serious broda or Sisto wouldnt put such a graffiti on the roadwalls to expect a reaction from the civilians or government organs...Hao wapo kila mtaa wa nchi hii!
 
Duh!,hao usalama wa taifa nao watakuwa na kazi,kesho mwingine akiandika jk anataka kumuua baba yangu atafutwe,mwingine ataandika Pinda anataka kumuua mke wangu.Hivi ni vi2 vya kawaida sana kwenye jamii yenye watu wengi hasa hasa walio frastruated.Tembelea maeneo ya vyoo vya chuo chochote(especial vyenye wanafunzi wa certificate,diploma),vyoo vya sekondari,shule za msingi.Utaelewa ni umri gani na aina gani ya watu wanaopenda hayo mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom