Si ajenge aliyopo shida nini kama ni rahisi hivyoMradi mkubwa wa umeme hela ipo!?..yule jamaa yenu aliambiwe ajenge kinyerezi 3&4 akakimbilia huo mradi kana kwamba hela anazo
Si ajenge aliyopo shida nini kama ni rahisi hivyoMradi mkubwa wa umeme hela ipo!?..yule jamaa yenu aliambiwe ajenge kinyerezi 3&4 akakimbilia huo mradi kana kwamba hela anazo
Uzuri ni kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Namaanisha Historia ya mawaziri wa nishati kufungwa jela.Ameamua kwa uwazi kabisa kufanya biashara huku akiwa kiongozi wa serikali huku mamlaka zinamuangalia tu, na sisi pia tunamuangalia tu, wacha wajidai.
Mradi huo ulipoasisiwa chini ya JPM (R.I.P) hakukuwa na masharti ya kwamba ni ndani ya mita 30 peke yake.Ushaidi hana ni muongo kama waongo wengine gharama za REA ni Sh 27000 tu ndani ya mita 30
Mi nimeshangaa!Nimesoma mwanzo mpk mwisho wa uzi huu sijaona mahala popote ulipopigia mstari uwongo wa Makamba. Umeishia kumbwela-mbwela tu.
Ameamua kwa uwazi kabisa kufanya biashara huku akiwa kiongozi wa serikali huku mamlaka zinamuangalia tu, na sisi pia tunamuangalia tu, wacha wajidai.
Eti ndgu mteja, cjui mpo hapa kufanya Nini?? Hamna Msaada wowote ulë. Leo Mimi miez mitano imetimia bila kufungiwa umeme hapa Moro town na pesa 515000 nimelipa,?? Na kalë kaafisa uhusiano Moro cjui Jack ovyo Kabsa..nadhan rushwa tu inatakiwa maaana ndo Watu wananishaur hivyo.. including tanesco employee...ngja ninyamaze lkn ninyi ni ovyo tu..Mbya Zaidi nilishatoa malamiko mkaja kma malaika oohh Tuma x cjui Namba cjui eneo.. hamna lolote ninyi.. nitaanzisha kampeni mtoke kwenye sticky thread coz hamna Msaada wowote uleUfafanuzi
Ndugu mteja
Tunakukujulisha kuwa gharama za kuunganishia wateja wa vijijini zipo pale pale yaani ni Tsh 27000 tu, gharam uliyotaja hapo ya 321000 inahusisha wateja wa mijini waliopo ndani ya mita 30, Kwa maelezo haya tafadhali onesha ushahidi wa mteja wa REA aliyelipia kiwango zaidi tulichotaja kwa hatua zaidi
Ahsante
Ni LNG Mkuu na sio JNHP!!Ni hivi majuzi,Serikali hii ya CCM chini ya Rais Samia ilitangaza kufuta bei ya kuunganisha umeme wa REA kule vijijini.
Kutoka ile ya 27,000/= mpaka 320,000/=.
Sasa Makamba mbele ya Rais anatamka serikali kuendelea na uunganishaji umeme wa REA vijijini Geita,takriban vijiji 1400 bila kuainisha ni kwa bei ipi?
Kuna ushahidi kote nchini juu ya kusuasua na baadhi ya sehemu kusimama kabisa kwa zoezi la REA kwa bei e ya zamani.
Sasa hivi bei inayoendelea ni hii mpya ya 320,000,ingawa mteja haambiwi rasmi,bali anaishia kuchengwa kimyakimya.
Huku wale wana tender sasa hivi kupitia App ya Nickonect ya Tanesco,na kwa bei mpya.
Ndio wanaoendelea kuunganishiwa Umeme huo.
Pia Makamba ametumia muda wake kuendelea kuipigia chapuo miradi mipya ya umeme wa maji kupitia mto Rusumo na mingineyo mitatu,ambayo inatarajiwa kuzalisha megawati 400,
pale itakapokamilika.
Lakini cha kushangaza zaidi ni pale ambapo Makamba amemaliza hotuba yake,kwa kuendelea kuinadi gesi ya kupikia ya Rostam,bila kututajia kinachoendelea kule kwenye mradi mkubwa wa uzalishaji umeme la JNHP!
Je!
Hii hii nini maana yake?
Alamsikhi!
Ufafanuzi
Ndugu mteja
Tunakukujulisha kuwa gharama za kuunganishia wateja wa vijijini zipo pale pale yaani ni Tsh 27000 tu, gharam uliyotaja hapo ya 321000 inahusisha wateja wa mijini waliopo ndani ya mita 30, Kwa maelezo haya tafadhali onesha ushahidi wa mteja wa REA aliyelipia kiwango zaidi tulichotaja kwa hatua zaidi
Ahsante
Tanesco; kunamsemo huku mtaani watu hupenda kuutumia kwamba ukiwa msalani ikatokea kichaa kachukua nguo zako na wewe ukaanza kumkimbiza ukiwa uchi wewe ndio utaonekana mwendawazimu.Ufafanuzi
Ndugu mteja
Tunakukujulisha kuwa gharama za kuunganishia wateja wa vijijini zipo pale pale yaani ni Tsh 27000 tu, gharam uliyotaja hapo ya 321000 inahusisha wateja wa mijini waliopo ndani ya mita 30, Kwa maelezo haya tafadhali onesha ushahidi wa mteja wa REA aliyelipia kiwango zaidi tulichotaja kwa hatua zaidi
Ahsante
Hizo hela alizotumbukiza huko tunalipaje!?Si ajenge aliyopo shida nini kama ni rahisi hivyo
Unajua hata bajeti ya huo mradi!?..alifika % ngapi!?..kwani alikuwambia alishindwa kumalizia pesa zilikuwepo mungu kamchukua pesa zote zimeliwa
We jamaa unaugua,sgr kufika Moro tu shida,ahadi kibao na hakufikisha..unadhani hela ya kujenga rufiji ni hela mbuzi!?Hakuna Mradi uliowahi kukwama mbele ya Magufuli! Na hakuna mradi ambao ungekwama iwapo angekuwa bado yupo! Tulijengwa tabia ya kuwa low expactations kuwa hatuwezi yeye akajaribu kufundisha watu kuwa na high expectations kuwa kila jambo0 linawezekana, lakini sasa tunarudishwa kwenye low expactations tena eti hakuna hela wakati hela za kusafri dunia kote na za kulipia misafari mirefu ya ziara za mwaziri zipo.
Haukamiliki Leo Wala keshoAcha kupotosha umma mradi wa Nyerere unaendelea kama kawaida tupo tunapiga kazi usiku na mchana.
Kwani hadi nyie mnakamuliwa??Awamu hii ikipita Rais ajaye atakuja na mradi wake wa umeme wa Solar au upepo.
Mradi watukamue tu.
Time interval aliyotoa JPM ni tofauti na uhalisia uliopo ila kazi inafanyika dailyHaukamiliki Leo Wala kesho
Asante kwa ufafanuziUfafanuzi
Ndugu mteja
Tunakukujulisha kuwa gharama za kuunganishia wateja wa vijijini zipo pale pale yaani ni Tsh 27000 tu, gharam uliyotaja hapo ya 321000 inahusisha wateja wa mijini waliopo ndani ya mita 30, Kwa maelezo haya tafadhali onesha ushahidi wa mteja wa REA aliyelipia kiwango zaidi tulichotaja kwa hatua zaidi
Ahsante
Hivi wenye Nchi ni akina nani. ??Yani kinachoendelea hivi sasa nchi hii,ni kumsifia Samia kusha kumpangia ziata nyingi huku nchi ikifilisiwa na hili genge la Msoga team!
Ndiyo maana nimesema si Leo Wala keshoTime interval aliyotoa JPM ni tofauti na uhalisia uliopo ila kazi inafanyika daily