Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,181
- 41,841
- Thread starter
- #21
Hakika mkuuHata wasipoandika kibra haikwepeki.

Ebhanaeeee 🔥🔥🔥🔥🔥 hadi jinsi ya kuchagua mke 😆😆Kazungumza mengi
*Operation zake za kuondoa Malaya na ombaomba
*Kikulacho ki nguoni mwako
* jinsi ya Kuchagua mke
E.t.c
Akatoa sababu kadhaa ya kwanza uzuri wa sura ya pili dini akasema ukioa mwanamke asiye na maadili ya dini kasema hata watoto wako hawawezi kuwa na maadili mema 😊 so tuoe wanawake wanye kufuata misingi ya diniEbhanaeeee 🔥🔥🔥🔥🔥 hadi jinsi ya kuchagua mke 😆😆
Wanaandika tayari wakiwa na umri mkuwa.True yaan wazee wakiandika tu..adding to the list MZEE WA RUKSA HAYATI
AL HASSAN MWINYI
Ni kweli maana Mara nyingi life span ya mstaafu haizid miaka 30 +Wanaandika tayari wakiwa na umri mkuwa.
Mkuu kiagata umekisoma?? au umefanya general assumption... for sure hapa duniani ni kua hakuna mtu mjinga kiasi usijifunze chochote kutoka kwakeHakuna cha maana kwenye hicho kitabu
Kumbe alitoa kitabu!?pole yake!!kibongo bongo ukiona hiyo ujue zimekaribia!!View attachment 2998460
View attachment 2998461
"Niwakati tulipokuwa mafunzoni Monduli Machi, 1976 hadi Januari, 1977 ndipo nilipomfahamu vizuri Yusufu Rajabu Makamba na tukawa marafiki tangu wakati huo mpaka sasa. Nikatokea kuutambua vizuri uwezo wake wa uongozi. Nilivibaini vipaji vyake adimu vya kuhamasisha, kuunganisha watu, kujieleza na ubunifu. Pia moyo wake wa kujituma, kutokata tamaa na uhodari wa kazi. Ndiyo maana nilipokuwa Rais nilimteua kuwa Mkuu wa Mkoa na Mbunge na nilipokuwa Mwenyekiti wa CCM nilimteua kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.”
—Dkt. Jakaya M. Kikwete, Rais wa Awamu ya Nne wa Tanzania
Kuhusu Mwandishi:
Mwandishi wa kitabu hiki, Yussuf Rajabu Makamba, ni mkulima na mfugaji. Amewahi kuwa Mbunge, Katibu Mkuu wa CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, na ni Afisa Mstaafu wa JWTZ. Amewahi pia kuwa Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kigoma na Dar Es Salaam, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa.
Mwandishi ameandika vitabu vingi ikiwemo ‘Methali, Semi na Vitendawili vya Kisambaa
Wakuu kinapatikana mkuki na nyota @15,000/=
Wapenzi wa vitabu mkipata muda tusome kitabu Cha mzee wetu Yusuf makamba.
Wasalaam
Wewe ni muongo makamba soyo mkulimaView attachment 2998460

Ni Nanu sasaaa 🏃🏃Wewe ni muongo makamba soyo mkulima
View attachment 2998460