Makamba afiwa na mtoto

Ni habari za kusikitisha.

Pole mjane na watoto wa marehemu Kimweri Makamba, kama ameacha yeyote.

Pole kwa familia ya Mzee Makamba na familia ya mjane, kama amewaacha.

Wapate nguvu.
 
Pole kwa familia nzima ya Makamba, Mungu awape faraja na kuwatia nguvu katika hiki kipindi kigumu.
Pia, Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi marehemu.
 
Pole sana Mzee Makamba na familia kwa ujumla kwa kufiwa na kijana mpendwa Kimweri Makamba. Tuzidi bila kuchoka kumuombea kwa Mungu ili ampe hifadhi katika ufalme wake, Amen
 
Put Political Differences aside and all lets express our symphathies for makamba and His Family!
RIP!
 
Poleni familia ya makamba kwa msiba huo.
Mungu anavuna shamba lake kwa majira yake
 
Poleni sana Mzee Makamba,Mheshimiwa hakimu Ally Makamba na familia yote kwa ujumla kwa msiba huu mzito ulioikumba familia yenu! RIP Kimweri
 
Poolen sana wafiwa
marehemu ni yule kijana aliesoma pale pugu secondary??
Mungu ampe rehema zakee
 
Back
Top Bottom