Makamanda wa Polisi (Iringa & Dar) watofautiana sakata la Abdul Nondo

Hili jambo lina njama Kali sana ambayo nadhani Mwigulu na Makonda wanahusika. Mbona hawataki kijana aonane na wanasheria wake kama sheria inavyotaka?
Na kakamatiwa Iringa kwa nini wamlete Dar?
Hii issue ya huyu dogo inaniuma sanaa na kwa kiasi kikubwa inadhihirisha jinsi vyombo vyetu vya usalama vinakosa uhuru wa kufanya mambo yake vyenyewe ni dhahiri shairi kama wanapoke amri kutoka mamlaka zilizo juu yao, kama wanaharakati wa kutete haki hawataingilia kati dogo anaweza akazushiwa mambo mengi amabayo yanaweza yakamfanya ashindwe kutimiza ndoto zake za masomo.
 
Mabosasasa nilimdharau alivyosema zile risasi zilizompata Aqwilina zilikua zinalenga hewani hii nchi tatizo katiba ndo tatizo kubwa police haiwezi kua huru kwa katiba hii wala NEC wala mahakama
 
Kazi tunayo, ila mwisho wa siku maji na mafuta hayawezi kuchanyika na kuwa kitu kimoja. Lazima maji yajitenge na mafuta
 
Pamoja na Nondo, hao makamanda wa polisi kuna mmoja wao anatakiwa kuunganishwa na Nondo kwenye kesi ya kutoa taarifa za uzushi. Napendekeza Mambosasa!
 
Wakuu habari hii imenishtua kidogo kwamba inakuwaje ripoti za Polisi juu ya uchunguzi wa sakata hili la bwana mdogo Abdul Nondo zimetofautiana? Au tuwaamini watu/ Kamanda wa Dar au Iringa?
IMG_20180314_124403.jpg
 
sasa sijui Kmanda mambosasa ripoti yake kaitoa wapi maaana ni tofaouti na RPC iringa. :D:D
 
Naona kuna Trending kubwa sana Kuhusu huyu kijana Abdul Nondo huku kuna baadhi ya taasisi zikotoa matamko yao mengi yakiwa ni ya kuhukumu kabisa kwamba kijana Alikuwa Amejiteka.

Sikuja hapa kutetea wala kushutumu bali kutoa maoni yangu mimi kama kijana wa Kitanzania.


Tumesikia wenyewe jinsi mkuu wa polisi Iringa alivyopokea na kutoa statement yake kuhusu Ndugu Abdul nondo kujipeleka polisi na kuhojiwa baada ya kutekwa/Kujiteka


Hapo hapo pia tumemsikiliza Mombasasa wa kanda ya dar es salam akisema ndugu Abdul Nondo alijiteka hivyo hakujipeleka polise bali walimkamata akiwa ananukia na pafyumu yaani kwa maana nyingine bwana Nondo alikuwa anatoka kwa kidemu chake then ndio akashikwa na polisi



Kuna mkanganyiko sana ukisikia hayo madai,
Mi sio mwanasheria na siijui Sheria ila nimebahatika kidogo kuijua haki yangu kama Mtanzania na pia siko vyema kwenye uundwaji wa Hoja .

Mnavyoona trending ya hii kesi ya Ndugu yetu Abdul Nondo na yanayoendelea Nchini basi napata mashaka na Kusema hiyo kesi hatutoona mwisho wake na kama ukifika basi kuna taasisi itakuja kuumbuka .

Mark my Word.


Lets wait and See..!
 
Tofauti yake hapo ipo wapi?? Kwani RPC wa Iringa alikuwa anamwambia nani haswa?? Ilikuwa muda gani tangu apatikane na alipofikishwa darisalama?? Hujui alisema nini hapo kati gadi PRC wa darisalama agundue kuwa hakujipeleka polisi. Hivyo; Nyamaza kimya usichafue upelelezi. Maswali yako peleka mahakamani. Mnachafua sana utaratibu wa makesi nyie ma-bush lawyer
 
Ukiamuangalia vizuri mambosasa alivyokua anasoma ile ripoti Kuna kitu flani unapata!
Kama anachokisoma hakiendani na kile anachokijua
 
Back
Top Bottom