Makamanda wa Polisi (Iringa & Dar) watofautiana sakata la Abdul Nondo

Hivi tuna jeshi la polisi linalowasiliana ipasavyo?
Kwanini nguvu kubwa hivi inatumika?

Usalama wa taifa mtafichaje uso wao, mambo Kama yaha yanatokea kila mara.

Kwanini mmumpeke mahakamani badala ya kuwafuatilia waliomteka ama kumhusisha kwenye uchukuzi wao. Hawaoni kuwa kumpeleka mahakamani kutapunguza nguvu katika kujua walio nyuma ya hayo yote.

Wanasema pistol, inauhusiano gani katika hili
? Au ndo kufunika kombe.......
Kwanini nguvu inatumika ?
 
Hili jambo lina njama Kali sana ambayo nadhani Mwigulu na Makonda wanahusika. Mbona hawataki kijana aonane na wanasheria wake kama sheria inavyotaka?
Na kakamatiwa Iringa kwa nini wamlete Dar?
mwigulu prime suspect no 1 bashite lazima yumo yaani hawa jamaa hadi wanatia kinyaa hafu ti wanaenda kanisani kuombewa
 
hapo hakuna tofauti na alyeuza dhahabu kauza dhahabu feki na aliyenunua dhahabu kanunua kwa fedha feki. haibu ni kwa mwenyekiti Mao
 
Wa Dar usanii mwingi katika kuwafurahisha anaowajua yeye
 
Back
Top Bottom