Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola.
Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT.
Chadema wamekuwa wanatumia njia mbali mbali kujaribu kushika dola , na waliwahi kufanikiwa japo kidogo kwenye medani za siasa za Tanzania pale ambapo aliekuwa Mwenyekiti cha Chama na Kiongozi ailiekuwa na mvuto( Mzee Mbowe) alipoamua kwa maslahi mapana ya chama kukodi mgombea wa urais toka chama tawala(CCM) aliekuwa na mvuto marehemu Edward Lowassa.
Hata hivyo, mtazamo wa chama umebadilika kutoka kutumia watu wenye mvuto kwa jamii na badala yake wameamua kujikita kutumia watu ambao kwa mtazamo wao wanaona mvuto , mvuto ambao kimsing ni wa kwenye mitandao husasani wafuatao: Bibi Maria Sarungi( Kenya), Kibibi Hilda(Kenya) , Bibi Kimange( USA), NARUVAZ 90( GERMAN), Ester Mayemba( Kenya) na Mzee Lema kupitia maandiko ya kada Malisa na kijana mchachari bila madhara ( Twaha Mwaipaya).
Si kosa kutumia mitandao kujaribu kuvutia kizazi ambacho ni rahis kudanganyika ambacho kimekuwa kinaadiwa maisha ya kula bata kupitia maadiko ya niliwataja hapo juu na haswa Mzee Lema ambae cha kushangaza anahahidi vijana ambao uwezo wa kufikiri ni mdogo maisha ya ajabu wakati huo huo huyu jamaa alikuwa ansaidiwa posho ya kula na Mheshimiwa wetu .
Kwa kumalizia niseme tu kuwa Chadema msibobadilika mikakati yenu kama chama haijengi chama bali inapata wanachama ambao kwa jamii wapo ingawaje ni wachache sana( wanaharakati).
Tunayo nchi Moja tu nayo ni Tanzania .

Je unaowasemea wenyewe wanalijua hilo,je yanayowatafuna ndani kwao wanayajua na je wale wanaosema ni wakutoka nje nao wanajuaNi ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola.
Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT.
Chadema wamekuwa wanatumia njia mbali mbali kujaribu kushika dola , na waliwahi kufanikiwa japo kidogo kwenye medani za siasa za Tanzania pale ambapo aliekuwa Mwenyekiti cha Chama na Kiongozi ailiekuwa na mvuto( Mzee Mbowe) alipoamua kwa maslahi mapana ya chama kukodi mgombea wa urais toka chama tawala(CCM) aliekuwa na mvuto marehemu Edward Lowassa.
Hata hivyo, mtazamo wa chama umebadilika kutoka kutumia watu wenye mvuto kwa jamii na badala yake wameamua kujikita kutumia watu ambao kwa mtazamo wao wanaona mvuto , mvuto ambao kimsing ni wa kwenye mitandao husasani wafuatao: Bibi Maria Sarungi( Kenya), Kibibi Hilda(Kenya) , Bibi Kimange( USA), NARUVAZ 90( GERMAN), Ester Mayemba( Kenya) na Mzee Lema kupitia maandiko ya kada Malisa na kijana mchachari bila madhara ( Twaha Mwaipaya).
Si kosa kutumia mitandao kujaribu kuvutia kizazi ambacho ni rahis kudanganyika ambacho kimekuwa kinaadiwa maisha ya kula bata kupitia maadiko ya niliwataja hapo juu na haswa Mzee Lema ambae cha kushangaza anahahidi vijana ambao uwezo wa kufikiri ni mdogo maisha ya ajabu wakati huo huo huyu jamaa alikuwa ansaidiwa posho ya kula na Mheshimiwa wetu .
Kwa kumalizia niseme tu kuwa Chadema msibobadilika mikakati yenu kama chama haijengi chama bali inapata wanachama ambao kwa jamii wapo ingawaje ni wachache sana( wanaharakati).
Tunayo nchi Moja tu nayo ni Tanzania .
kama wanachafua taswira ya amani, sisi hatuna shida si unaona lissu bado anasota ndan! ushaambiwa amani inalindwa kwa gharama zozoteKwa hio upo tayari CHADEMA wote wawe mashoga,wakubali kuua,kuteka,kuiba Kula,kuchukua mtu mwenye MVUTO kama Mwamposa,Diamond etc Ili tu ishike Dola?
Huoni hivo vyote CCM wanavyo?,na wewe ubaki CCM tu?
Mwambieni Abdul awe anawalipia NSSF mmebakiza miaka minne ,mama yake akishamaliza mtarudi mtaani maana ajira ya kucomment itakuwa imeisha.Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola.
Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT.
Chadema wamekuwa wanatumia njia mbalimbali kujaribu kushika dola, na waliwahi kufanikiwa japo kidogo kwenye medani za siasa za Tanzania pale ambapo aliyekuwa Mwenyekiti cha Chama na Kiongozi aliyekuwa na mvuto( Mzee Mbowe) alipoamua kwa maslahi mapana ya chama kukodi mgombea wa urais toka chama tawala(CCM) aliekuwa na mvuto marehemu Edward Lowassa.
Hata hivyo, mtazamo wa chama umebadilika kutoka kutumia watu wenye mvuto kwa jamii na badala yake wameamua kujikita kutumia watu ambao kwa mtazamo wao wanaona mvuto, mvuto ambao kimsing ni wa kwenye mitandao hususani wafuatao: Bibi Maria Sarungi( Kenya), Kibibi Hilda(Kenya) , Bibi Kimange( USA), NARUVAZ 90( GERMAN), Ester Mayemba( Kenya) na Mzee Lema kupitia maandiko ya kada Malisa na kijana mchachari bila madhara ( Twaha Mwaipaya).
Si kosa kutumia mitandao kujaribu kuvutia kizazi ambacho ni rahis kudanganyika ambacho kimekuwa kinaadiwa maisha ya kula bata kupitia maadiko ya niliwataja hapo juu na haswa Mzee Lema ambae cha kushangaza anahahidi vijana ambao uwezo wa kufikiri ni mdogo maisha ya ajabu wakati huo huo huyu jamaa alikuwa ansaidiwa posho ya kula na Mheshimiwa wetu .
Kwa kumalizia niseme tu kuwa Chadema msibobadilika mikakati yenu kama chama haijengi chama bali inapata wanachama ambao kwa jamii wapo ingawaje ni wachache sana( wanaharakati).
Tunayo nchi Moja tu nayo ni Tanzania .
Huu ushauri mngewapa vile vyama 17 matawi yenu. Cdm ni next level. Uwanja wa saiasa ukibaki wa kufanya siasa, chama kitakachopotea cha kwanza ni ccm, automatically na matawi yake yataanguka. Cdm imeshindikana kufa, ndio maana unaona sasa nguvu ya dola ndio pekee inatumika kupambana nayo.Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola.
Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT.
Chadema wamekuwa wanatumia njia mbalimbali kujaribu kushika dola, na waliwahi kufanikiwa japo kidogo kwenye medani za siasa za Tanzania pale ambapo aliyekuwa Mwenyekiti cha Chama na Kiongozi aliyekuwa na mvuto( Mzee Mbowe) alipoamua kwa maslahi mapana ya chama kukodi mgombea wa urais toka chama tawala(CCM) aliekuwa na mvuto marehemu Edward Lowassa.
Hata hivyo, mtazamo wa chama umebadilika kutoka kutumia watu wenye mvuto kwa jamii na badala yake wameamua kujikita kutumia watu ambao kwa mtazamo wao wanaona mvuto, mvuto ambao kimsing ni wa kwenye mitandao hususani wafuatao: Bibi Maria Sarungi( Kenya), Kibibi Hilda(Kenya) , Bibi Kimange( USA), NARUVAZ 90( GERMAN), Ester Mayemba( Kenya) na Mzee Lema kupitia maandiko ya kada Malisa na kijana mchachari bila madhara ( Twaha Mwaipaya).
Si kosa kutumia mitandao kujaribu kuvutia kizazi ambacho ni rahis kudanganyika ambacho kimekuwa kinaadiwa maisha ya kula bata kupitia maadiko ya niliwataja hapo juu na haswa Mzee Lema ambae cha kushangaza anahahidi vijana ambao uwezo wa kufikiri ni mdogo maisha ya ajabu wakati huo huo huyu jamaa alikuwa ansaidiwa posho ya kula na Mheshimiwa wetu .
Kwa kumalizia niseme tu kuwa Chadema msibobadilika mikakati yenu kama chama haijengi chama bali inapata wanachama ambao kwa jamii wapo ingawaje ni wachache sana( wanaharakati).
Tunayo nchi Moja tu nayo ni Tanzania .
Nitarudisha kadi ,lazima tuseme ukweli tunaokipenda chama.Acha upimbi.Kwa hili andiko huna huruma yeyote na Chadema, Act wamefika wapi na mgombea wao, wamepata majimbo mangapi?
Unayo kadi ya CDM?Huu ushauri mngewapa vile vyama 17 matawi yenu. Cdm ni next level. Uwanja wa saiasa ukibaki wa kufanya siasa, chama kitakachopotea cha kwanza ni ccm, automatically na matawi yake yataanguka. Cdm imeshindikana kufa, ndio maana unaona sasa nguvu ya dola ndio pekee inatumika kupambana nayo.
Kama wewe ni mwachama basi inabidi wakuangalia upyaNitarudisha kadi ,lazima tuseme ukweli tunaokipenda chama.Acha upimbi.
Lazima tuseme ukweliKama wewe ni mwachama basi inabidi wakuangalia upya