kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
Makamanda wanatamani kumlisha maneno lissu ili aseme yale wanayoyawaza wao vichwani mwao kuhusu watu waliomjeruhi kwa risasi,
makamanda nguvu zimewaishia kabisa waliposikia muhanga hawajui waliomjeruhi kwa risasi wakati wao zana yao ilikua fulani,
mpaka muda huu wamebaki kubadili maelezo aliyatoa lissu ya kumpatia salama makamu wa rais amfikishie rais
pia wanakataa kuwa hakusema hivyo
Sasa hii ni albadir maneno aseme lissu kwa akili zake leo makamanda wanasema siyo yale,
walitegemea lissu atakua siyo muungwana aanze kumshambulia rais kama wanavyohisi
Ukichanganya na huu msongo wa kupata kata moja makamanda nguvu zimekwisha kabisa!
Poleni makamanda ndio siasa katikati ya wanasiasa msiishi kwa zana na chuki!