Nimebaini hili kwenye uchaguzi huu. Ukweli ni kwamba CCM ni wepesi sana. Wanashinda kwa margin ndogo ndogo sana. Wanashinda kwa mbinu za tuhesabu tena kura!
Ukweli wakitaitiwa vizuri wanaishiwa pumzi mapema sana na kuachia. Pale walipotaitiwa waliachia mapema sana! Mdee kawatait, Mnyika kawatait, Msigwa kawatait sana, Kubenewa kawatait, na wengine wengi huko Kilwa kusini na Kilwa Kaskazini!
Next time 2020 tujifunze kuwatait kisawasawa. Ni wepesi mno hawa magamba!