Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,010
- 74,649
Hawataki kutangaza. Amemzidi ccm kwa kura kama 2400 hivi.lkn mgombea wa ccm amekataa anataka warudie kuhesabu kura
Huwa husomi. Mpaka sasa ccm inaongoza majimbo mengi. Wepesi wa ccm uko wp? Pressure inawapanda na kushukaNimebaini hili kwenye uchaguzi huu. Ukweli ni kwamba CCM ni wepesi sana. Wanashinda kwa margin ndogo ndogo sana. Wanashinda kwa mbinu za tuhesabu tena kura!
Ukweli wakitaitiwa vizuri wanaishiwa pumzi mapema sana na kuachia. Pale walipotaitiwa waliachia mapema sana! Mdee kawatait, Mnyika kawatait, Msigwa kawatait sana, Kubenewa kawatait, na wengine wengi huko Kilwa kusini na Kilwa Kaskazini!
Next time 2020 tujifunze kuwatait kisawasawa. Ni wepesi mno hawa magamba!
Ndio yuko sahihi. Next time huko kwa wanyaturu wanyiramba na wagogo
haya: Lowassa aliahidi elimu bure na bora hadi chuo kikuu. Aliahidi ajira kwa vijana. Aliahidi huduma nzuri za afya! Well, umemmnyima kura ili kumkomoa?????
Lowassa alishatusua maisha kitambo sana, hana shida na hela tena! Sasa wewe kidampa ndio unahangaikia mlo mmoja, huduma za afya, huna mbele wala nyuma! ptuuuu kweli jingalao wewe! Imekula kwako!

Ni wepesi eh? Muulize mchezaji wenu pampas anavyogaragazwa pamoja na kampeni za miaka 5 makanisani, support ya vyama 4,fedha mabilioni, na maelfu ya nyumbu nyuma yake.
Nimebaini hili kwenye uchaguzi huu. Ukweli ni kwamba CCM ni wepesi sana. Wanashinda kwa margin ndogo ndogo sana. Wanashinda kwa mbinu za tuhesabu tena kura!