PreGE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

PreGE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nikajua Kuna pointi za watu kupbe wajinga wawili wanabishana page zote 5
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Pigo gan wkt wamesh sema hawatoshiriki uchaguzi, badal yake wao CDM ndio watapata pigo kubw sN maana hawashirik uchaguz maana ake hata zile nafas walizpkua wanazipta pia watazikosa, kiufup Chadema inaelekea kubaya.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Akizungumza siku ya Jumanne Machi 4, 2025 katika kikao cha viongozi wa CCM wa mashina, kata, matawi na mabalozi wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Makalla amesema kuwa CHADEMA inakosea kuwaambia wafuasi wao wasijiandikishe kwa madai kuwa hakutakuwa na uchaguzi.

Ameendelea kusisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba, na kwamba madai ya CHADEMA kwamba "No Reform, No Election" ni propaganda zisizo na msingi.

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025



Kauli yake inakuja huku mijadala ikiendelea kuhusu mustakabali wa uchaguzi na msimamo wa vyama vya siasa juu ya mazingira ya kisiasa nchini Tanzania.
View attachment 3258488
Makala aache nyege mshindo, Tangu aambiwe amepwaya kwenye hio nafasi basi ana KAZI ya kuropokwa Tu. Ole wenu Siku moja Mahakama, Polisi, TISS na wengineo waweze kutumia akili zao, mtajikuta hamna chama.
 
Back
Top Bottom