Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Makusudi gani bana we mpokee mwana mpotevu huyo.
Heheh umeelewa sasa jinsi ninavyokujali? Nakumbuka katika watu waliowahi kuniuliza mara nyingi ni wewe.
Nadhani umemuona kwa mbali.
Haya jiandae kumpokea rasmi!