Makali ya chama cha ubwabwa: leo wanaliamsha dude

Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao
Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani
Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana
Mashaka yangu ni Kama hawatarudia makosa ya mkutano wao wa kwanza Dsm ambapo
Waliahidi kuwatambulisha wanachamq wapya 3000 toka CHADEMA.. lakini ukumbi waliokuwa wamekodishiwa haubebi watu 400
Waliwalaghai viongozi wa mikoani waje Dar eti mwenyekiti mstaafu anawaita
Waliwatapeli kwenye malipo ya malazi na chakula
Ukumbi ulijaa wahuni na vijana wadogo waliokuwa hawajaandaliwa hata namna ya kuitikia salamu ya chama
Mziki wa singeli ulitawala badala ya hotuba

Tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana MwanzaView attachment 3346000
Kuwaita hao chama cha ubwabwa si sawa. Kila chama kina mambo yake kinafanya sasa kila chama kikiitwa kwa mambo yake Chadema tuiite
Chama cha ombaomba sababu kila kinapoenda kinaomba hela kwa wanachama kusema tone tone, join the chain.
Chaumma wao wanagawa ubwabwa.
 
CHAUMMA hakina tovuti wala social media accounts, habari zake zinapostiwa na wanachadema. Hazitolewi kama taarifa bali kama lawama.
Habari za Chadema zinatolewa na msemaji rasmi wa Chadema hivyo hizo unazosema zinapostiwa na wanachadema siyo habari rasmi za Chadema, kwani wewe ni mwana ccm lakini unaweza ukapost kitu ukajiita mwana Chadema kama uhuni uliofanywa na ITV jana kuwapost Uvccm wakiwa na bendera za Chadema na wao wakasema hao ni wanachadema. Chadema haina muda kujadili habari za Chaumma, muda wao wamewekeza kuongea na wananchi kwenye mikutano yao ya operesheni NRNE.
 
Wa
Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao
Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani
Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana
Mashaka yangu ni Kama hawatarudia makosa ya mkutano wao wa kwanza Dsm ambapo
Waliahidi kuwatambulisha wanachamq wapya 3000 toka CHADEMA.. lakini ukumbi waliokuwa wamekodishiwa haubebi watu 400
Waliwalaghai viongozi wa mikoani waje Dar eti mwenyekiti mstaafu anawaita
Waliwatapeli kwenye malipo ya malazi na chakula
Ukumbi ulijaa wahuni na vijana wadogo waliokuwa hawajaandaliwa hata namna ya kuitikia salamu ya chama
Mziki wa singeli ulitawala badala ya hotuba

Tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana MwanzaView attachment 3346000
Waganga njaa tuu hapo!
 
Ni tarehe 1
 
OLE WAKE MTANZANIA ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA.

NO REFORM NO ELECTION
Mkwara mbuzi huo, tutajitokeza kwa mamilion kwenda kupiga kura kwa amani, aliyekudanganya CCM, huwa anasusiwa ni kiumbe gani?, atakuwa mjinga sana huyo!
 
Na ile ya kuahidi wanachama 3000 wakaalika watu 400 – hiyo ni kama kuandaa sadaka ya kuku kwa kanisa zima 😤
 
kutoa pesa kwaajili ya chopa hadi pale Mbowe atakapo jiunga na CHAUMMA kama walivyo kubaliana. Mfumo hautaki kuwekeza pesa nyingi kwa Mrema, Mwalimu, na Kigaila kwa sababu unaona hawana haiba ya kiushawishi. Mbowe akijiunga nao, chopa itatoka.
20250530_003556.jpg
 
Wanakohamia wageni wamekuta wenyeji nao wanahama.

#MkulimaWaSiasa
FB_IMG_1748602789176.jpg
 
Back
Top Bottom