Makali ya chama cha ubwabwa: leo wanaliamsha dude

Makali ya chama cha ubwabwa: leo wanaliamsha dude

Kuishi kwingi kuona mengi😁😁😁
86de0fb5-3a20-4953-896f-65945e91c557.jpeg
 
Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao
Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani
Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana
Mashaka yangu ni Kama hawatarudia makosa ya mkutano wao wa kwanza Dsm ambapo
Waliahidi kuwatambulisha wanachamq wapya 3000 toka CHADEMA.. lakini ukumbi waliokuwa wamekodishiwa haubebi watu 400
Waliwalaghai viongozi wa mikoani waje Dar eti mwenyekiti mstaafu anawaita
Waliwatapeli kwenye malipo ya malazi na chakula
Ukumbi ulijaa wahuni na vijana wadogo waliokuwa hawajaandaliwa hata namna ya kuitikia salamu ya chama
Mziki wa singeli ulitawala badala ya hotuba

Tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana MwanzaView attachment 3346000
Eti Salimu Mwalimu ana ushawishi Tanganyika 🤣🤣🤣🤣🤣.
Salimu Mwalimu ni mtu wa siasa Nyepesi ndio maana hajawahi hata kukaa mahabusu wiki moja .

Mtu wa TISS ndani ya vyombo vya habari aliyeingiza kwenye siasa kwa malengo maalumu ya kudhoofisha upinzani . Awamu hii anaona ni afadhali asimame na wazanzibari wenzake kutafuna raslimali za wayanganyika.
 
Alisema kuanzia June ataizunguka Tanganyika kwa siku 16 (kwa kutumia chopa)šŸ¤” chanzo cha mapato!?
20250523_170102.jpg
 
Mziki wa Singeli za dulla makabila ulitawala badala ya hotuba!!! Nasisitiza wajitahidi kusomba watu kwenye malori kutoka sehem mbalimbali mkutano ujae watu!!!
 
Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao
Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani
Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana
Mashaka yangu ni Kama hawatarudia makosa ya mkutano wao wa kwanza Dsm ambapo
Waliahidi kuwatambulisha wanachamq wapya 3000 toka CHADEMA.. lakini ukumbi waliokuwa wamekodishiwa haubebi watu 400
Waliwalaghai viongozi wa mikoani waje Dar eti mwenyekiti mstaafu anawaita
Waliwatapeli kwenye malipo ya malazi na chakula
Ukumbi ulijaa wahuni na vijana wadogo waliokuwa hawajaandaliwa hata namna ya kuitikia salamu ya chama
Mziki wa singeli ulitawala badala ya hotuba

Tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana MwanzaView attachment 3346000
Rebels...
 
Alisema kuanzia June ataizunguka Tanganyika kwa siku 16 (kwa kutumia chopa)šŸ¤” chanzo cha mapato!?View attachment 3346026

Bora watafune pesa za Mama mapema maana heka heka zikianza kila waziri na mbunge atakua anaangalia hatima yake.

Na awamu hii kama hakuna marekebisho ya Sheria hakuna diwani wala mbunge wa CCM atakubali kushindwa maana akishindwa ndio basi tena .
Mbunge gani wa CCM atakubali kukosa mshahara wa mil.18 wakati sheria inaruhusu kuiba kura na kubadili matokeo kirahisi . Ni sawa na kuacha mlango wa choo cha stand wazi bila ulinzi halafu ukikute kikiwa kisasfi.

Hakuna mpinzani atakayepata jimbo Tanganyika labda zito Kabwe peke yake.

Chauma kitadoda kabla ya uchaguzi. Watu watakwenda kula ubwabwa tu na kurudi zao nyumbani .

Wetu wengi walioandikishwa na kuhakikiwa ni wanachama wa CCM . Wengine wote majina yao yatachanganywa au hawatayaona kabila . Kwa hiyo kura upinzani hazitaonekana kabisa .
 
Unaweza kupoteza MB kuwasikiliza watakacho kuja kujieleza hapo ni kulalamikia chadema
Hivi Wana muda na chadema kwani?!!!! Mbona mi naona chadema ndo Wana muda na CHAUMA. Sijawahi wasikia wakipoteza muda wao kuizungumzia chadema Bali mambo yao; ila naona chadema ndo kitwa kucha kuhangaika na CHAUMA........ threads za kutosha za mawakala wa chadema chakavu humu jukwaani ni ushahidi wa niyasemayo.
 
Umeona wapi Chadema wanalia wewe? Chadema iko bize kueneza elimu ya No Reforms No Election na leo tunaanza Kanda ya Kaskazini hatuna muda mchafu kuongelea habari za wengine sisi tunaongea na wananchi na uzuri wananchi wanatuelewa na kutuunga mkono kwa maelfu.
CHAUMMA hakina tovuti wala social media accounts, habari zake zinapostiwa na wanachadema. Hazitolewi kama taarifa bali kama lawama.
 
Back
Top Bottom