HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 717
- 971
Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????"Kuendelea kuichagua ccm ni maafa" Dr Slaa 2010.
Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????"Kuendelea kuichagua ccm ni maafa" Dr Slaa 2010.
Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????
Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????
WEWE BROTHER NILIKUWA NAKUONA MPAMBANAJI NA UNASIMAMIA HAKHI KUMBE NAWE USHANYWESHWA UJI WA UNDELE,HIVI NINYI WASOMI MLIOKO HUKO CCM MKISHAINGIA HUKO WANAWALOGA?AU MNAJITOA AKILI ILI MRADI KITUMBUA KIINGIE TUMBONI?AU UNAMWOGOPA MH.HUSSEIN BASHE ASIJE KUKUMWAGA KWENYE KURA ZA MAONI MAANA SHOKA LA MWENYEKITI NDIO LIMEKUWEKA HAPO KWA HIYO HATA PhD YAKO INADHALILIKA KWA KUTETEA HATA YALE AMBAYO WEWE HUYAAMINI!!!!!!!!!!!!!Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????
tusitegemee mabadiliko chini ya chama tawala.. watu wote wanaakili zinazofanana wao wanawaza kuifirisi nchi tu.
naam kaka!"Kuendelea kuichagua ccm ni maafa" Dr Slaa 2010.
Kumbe ukweli unauma, eh?Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????