Makala: Shujaa alieshindwa kuhimili changamoto za ndoa

Ushiboy; Umenena mengi sana lakini yale yaliyo hadharani tu, Yale ya ndani ukiacha hayo ya kukung'utwa bado mengi yasiyosemeka huna unayoyajua.Kwani ndoa ni ya wawili tu.Yapo Winnie atasema kuhusu Mandela lakini Mandela naye angekuwa nayo yanayomhusu Winnie,Hapo ndo tungeweza kung'amua yupi alistahili na kwa wakati gani hakustahili msamaha.Upande mmoja hukumtendea haki Mandela kwani alitangulia mbele ya haki na siri yake moyoni.Umeonyeshwa kuguswa na Winnie kutokupata msamaha ili hali ukilaani mfumo dume.Misingi ya ndoa hasa ya Kikristo ambako mimi nina uzoefu nako,Haitoi nafasi kwa mwanamke kutafuta usawa na mwanaume ,Kwa hiyo neno harakati za kujikomboa na mfumo dume ni jambo lisilozungumzika katika ndoa za Kikristo ,Kwani biblia takatifu inaelekeza kuwa , mwanamke na amtii mume wake si vinginevyo.:A S crown-2:
 
kimatire,
Kwanza nikuombe radhi kwa kuchelewa kujibu hoja na mitizamo yako, hii ni kutokana na kubanwa na majukumu ya Shamba huku Ushirombo

1- Nikianza na kutoyajua ya ndani kama ulivyo ahinisha, naomba niseme kwamba haya nilio yaleta hapa hayakua kwaajili ya kujadili confidential issues kati ya Winnie na Mandela. Hapa nimeleta kwa lengo la kujifunza na kwa wengi wapate kujua yaliokua yakijiri kati ya wawili wale ambao ni kioo cha jamii.
2- Hakuna la ajabu kuzingumzia linalo/lililo kuhusu Mandela eti tu kwakua itaonekana sijamtendea haki kwasababu ametangulia mbele ya haki. Nathubutu kusema kwamba hayo ni mawazo yako tena duni na niuzandiki mkubwa kuacha kunzungumzia historia kwasababu tu Mandela alikwisha tangulia mbele ya haki.
3- Ingependeza sana kama ungekuja na hoja yenye mtazamo mpana kwa kuyaandika hapa hayo unayoyajua (nisiyo yajua) kuhusu wawili hawa (Winnie na Mandela), ili nami nipate kujifunza kutoka kwako.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa dah!Ndoa hizi ni balaa
 

Mbona makaburu walioua ndugu zake na kumfunga yeye pamoja na mateso makali gerezani ya kuvunja mawe aliwasamehe? ..... sembuse mke aliekuwa anamkatia viuno vya u jana? ...Nimewahi kusoma mahali pia kuwa binti Mandela kwa mke wa kwanza alisema Mama yake Yaani mke wa kwanza wa Mandela alikuwa anamaanisha sana madiba na kumwita mkatili!!
 

Sidhani kusamehe ina maana ya kumrudia na kuishi na mke aliekuwa tayari kukuua! Nina aliamua kumsamehe na kumpa uhuru aendelee kukuruka na serengeti boys wake vinginevyo kama asingemsamehe alikuwa na uwezo wa kumfanyizia kama OJ mmarekani mweusi alieshindwa uzalendo wa kuona mke wake wa zamani mzungu akitafunwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…