Makafara katika ujenzi wa magorofa

Wewe kijana Kuna kikubwa sana unacho, ila uhuni umeweka mbele.

Hili jambo bado linanitatiza sana kwakuwa uhuni una tafsiri pana sana... Sijui umefikiria nini mpaka ukaniambia mimi ni muhuni
 
Umefanikiwa vipi kwenye misukosuko hiyo mkuu? Tupe elimu na sisi huenda mikwamo yetu ikawa na sababu tusizozijua.
 
Umefanikiwa vipi kwenye misukosuko hiyo mkuu? Tupe elimu na sisi huenda mikwamo yetu ikawa na sababu tusizozijua.

Watu wakishakushughulikia Hakuna kitu unafanya kikafanikiwa kama kz utafanya hujui wapi Pesa inaenda wengine wanakomeshwa wakiwa bado hawajazaliwa wenngine wakiwa kwenye Mishe za maisha mimi nilinyooshwa nikiwa hivi MTU mzima nasaka NOTI ila mpaka kuja kutoka kwenye hayo majanga ilinichukua muda sababu Kwaakili ya kawaida ningumu sana kuamini km Uchawi ndio unaokusumbua mbaya zaidi nikawa naenda kwa waganga nikiamini kuna Msaada kilichotokea nilienda mganga 1 akanichanja chale kwenye vishikio vya mkono akiniambia hiyo ni Dawa kumbe alinipandikiza Chuma ulete aaaarrrrg....wacha niishie hapo tu ndg yangu
 
Endelea ndg ilii wengine waelewe Jf ni Kisiwa cha maarifa mkuu mshana jr tupe mbinu za kujikinga na uchawi.
 
Last edited by a moderator:
Heri ya Christmas mkuu mshana jr inasemekana mahakamani kuna mauzauza mengi yemechimbiwaga MAHAKAMA zote Tanzania na wanadai mambo hayo yalifanyika chini ya Mwasisi wa Taifa Hili Mwl Nyerere. Je kuna ukweli au ni tetesi tuu?

Na kkama ni ndio alifanya hivyo kwa maslahi ya nani???
 
Last edited by a moderator:

Hili lina ukweli nusu nusu, waliofanya hivyo si Mwalimu bali ni watuhumiwa mbali mbali kwa nia ya kuua kesi zao wasihukumiwe kwenda jela na haya mambo mpaka leo yanafanyika
 
Last edited by a moderator:
Hili lina ukweli nusu nusu, waliofanya hivyo si Mwalimu bali ni watuhumiwa mbali mbali kwa nia ya kuua kesi zao wasihukumiwe kwenda jela na haya mambo mpaka leo yanafanyika

Hilo ni la kufungulia Thread kabisa mkuu mshana jr
 
Last edited by a moderator:

I have this dada as well. Yaani dawa kubwa ni kuwa clean. Usifanye zinaa au makatazo yoyote haitapotea. Mie huenda mbali kidogo, ninaona mengi saana hadi najishangaa.
 
Endelea ndg ilii wengine waelewe Jf ni Kisiwa cha maarifa mkuu mshana jr tupe mbinu za kujikinga na uchawi.

Ndugu yangu wachawi ni watu hatari sana....acha tu...Mbinu za kujikinga na wachawi kwa upande wangu mimi ni Mkristo naamini katika Jina LA YESU maana majanga yote niliyopitia kwa waganga ilishindikana pamoja nakupigwa pesa bila huruma nikatokea KANISANI sijui kwa Imani zingine
 
Last edited by a moderator:
mkuu Mshana una ufahamu vipi usembe una elimu nao yeyote ile?
 
Katengeneza roho itakayokuja kusumbua mno kakoroge chumvi hata kilo nzima umwagie hapo kisha fukia na fupa la kitimoto kabisa
We jamaa ni mchawi. Ungemshauri amkabidhi Yesu maisha yake kwani Yesu hajawahi kushindwa.
 
We jamaa ni mchawi. Ungemshauri amkabidhi Yesu maisha yake kwani Yesu hajawahi kushindwa.
Sasa ndugu yangu @Sijuti yani unataka sasa mimi niwe jini??? Ili nikidhi matakwa ya jibu ulitakalo wewe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…