Makafara katika ujenzi wa magorofa

Mimi yalinikuta hayo nilinunua site nilijenga fasta baada ya miezi 3 nikahamia, yaliyonikuta Mungu ndo anaejua. Kiukweli Nyumbani imenishinda nimeiacha ni majanga mpk Leo sijakaa Sawa.

Mkuu hayo maneno ni kweli au fix tu. Sijali nyumba iko sehem gani lakini kama huitaki niuzie. Ila kama unaitaka, mimi ni mjenzi nipe contract niimalizie kwa mkataba mzuri tu. Ni PM tuwasiliane. Natafuta majumba ka hayo yaliyokataliwa niwawezeshe wenye nazo kuingia. Wakiogopa, nipeni
 
Dawa pekee hapo ni kuita watumishi wa kuaminika washushe maombi

mshana jr;
Kila siku nashindwa kukuelewa. Maombi hayo ya hao watumishi ni ya dini gani? Hata kule siye twasomaga kisomo na mambo yakawa powa kabisa. Je unamtuma wapi sasa?
Ila kule, uvumba lazima
 
mshana jr;
Kila siku nashindwa kukuelewa. Maombi hayo ya hao watumishi ni ya dini gani? Hata kule siye twasomaga kisomo na mambo yakawa powa kabisa. Je unamtuma wapi sasa?
Ila kule, uvumba lazima

Atakapoona panafaa kaka
 
Kule pangani kuna majengo ya zamani mojawapo kuna nguzo inasemekana walifukiwa watu wakiwa hai..nadhani ndio inahusiana na hii..
 
Wenzetu ulaya ni wachawi sana kuliko unavofikiria lkn sio kama uchawi wa kiafrika. Mshana jr aliweka hapa mpaka vyuo wanasomesha.

Ni tofauti sana. Uchawi wao ni wa mazingaombwe na hayamdhuru mtu, na ni tofaiti na uchawi wa kutumia majini na mashetani. Nime kaa huku ulaya miaka 15 na sijawahi kumsikia mzungu akisema anaenda kwa mganga ili afanikiwe au anaenda kumkomesha mtu. Lakini Tanzania utasikia karibia kila siku
 
Kaka Mshana ushirikina upo kabisa nakumbuka 1998 nilienda kumtembelea kaka yangu maeneo ya bariadi ambayo kwa sasa ni simiyu nyege zangu ziliniponza nikamfuata demu mbali kidogo na nilipofikia wakati narudi saa saba za usiku nilifukuzwa na mienge ya moto iliyokuwa inapepea mithili imeshikwa na mtu nilifika kwa kaka yangu kwa mateso makubwa wazee Wa gamboshi walinikomesha uhuni.
 
Ardhi ilikuwa na laana na maagano kiasi yoyote atakayetumia akubwe na majanga. Ndo mana inashauriwa ukinunua ardhi itakaye na kuiombea. Huwezi jua ardhi hyo kulifanyika maagano gani au mikafara
 
Hayo mambo yapo,tangia wadogo tumeyasikia sana.Vipi kuhusu ujenzi wa hospitali(theatre) za upaauaji na zenyewe kuna kafara?
 
Mimi yalinikuta hayo nilinunua site nilijenga fasta baada ya miezi 3 nikahamia, yaliyonikuta Mungu ndo anaejua. Kiukweli Nyumbani imenishinda nimeiacha ni majanga mpk Leo sijakaa Sawa.

Hiyo nyumbA ipo wapi!?
 
Sasa ndugu yangu Brown73 unataka uchawi wa ulaya ufanane kila kitu na wa huku kwetu? Hii ni very wrong judgement... Kukaa ulaya miaka 15 haimaanishi unajua kila kitu cha huko... Kuna wahindi wa hapo Posta magorofani hawaijui tabata segerea wala kigodoro na maisha yao yote wapo hapahapa
Naona una notion ya kwamba wote tunaoandika hapa hatujawahi kufika au kuishi huko ulaya
Sasa kwa taarifa yako bwana Brown73 huko ulaya kuna na vyuo kabisa vya ushirikina na si mazingaombwe kama unavyotaka kutuaminisha hapa
 
Last edited by a moderator:
Hayo mambo yapo,tangia wadogo tumeyasikia sana.Vipi kuhusu ujenzi wa hospitali(theatre) za upaauaji na zenyewe kuna kafara?

Inategemea imejengwa na watu gani na wanaamini nini
 
mshana jr mimi nataka dawa ya kumuona mchawi na mwanga unayo?
 
mshana jr mimi nataka dawa ya kumuona mchawi na mwanga unayo?

Ninayo lakini siwezi kutupatia kwasababu hutawaona wao tuu, utaona na vingine vingi vya ajabu utapiga kelele au kukimbia.... Na watu watakukumata wakidhani tayari Homa imepanda kichwani... Utawashangaa lakini wao watakushangaa zaidi na mwishowe utaishia mirembe... Usidhani wote walioko kule ni wendawazimu kama tunavyodhani
 
mshana jnr mimi nikiwa mbali na kwangu mambo yangu safi lakini kosa niende kwangu kisha niende kwenye mihangaiko yangu ni mabalaa kwenda mbele kama siyo ugomvi basi burst au biashara kugoma na mawasiliano yanakuwa mabaya nifanyeje?
 
Ninavyodhani: Hapo kwako pamefanyiwa kafara la mikosi, ramli chonganishi nuksi na banyanyi naomba wasiliana na MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
 
Sasa mbona wenzetu hawaongelei au hawajihusishi kama tunavto fanya huko TZ. Maana hapo Tz kila siku utasikia suala la uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…