lake Ngonsi
Member
- Dec 18, 2022
- 13
- 41
Naombeni msaada wa kueleweshwa maana TRA hawajanielewesha Kila nilipohitaji.
Juzi nilifika Ofisi za TRA kwa ajili ya kufanyiwa makadirio ya kodi. Nikakutana na ofisa pale nikazungumza nae na baada ya kujibu maswali na kukagua mashine ya EFD akanikadiria laki sita kwa mwaka kama kodi. Baada ya hapo yale makadirio yakapelekwa kwa meneja, meneja akakataa akasena natakiwa kulipa milion mbili. Yaani hataki tena mjadala zaidi anasema kama utashindwa kulipa basi utaandika barua.
Wastani wa mauzo Kwa siku ni Tshs 165,000/-..... na nikimuuliza umetumia Njia gani anasema duka lako ni maarufu hiyo utalipa tu...
Naombeni msaada wa mawazo, na kama Kuna mtalaam humu aniambie kama ipo sawa hiyo milion mbili au nifanyeje ili anielewe. Na kwanini amekataa makadirio ya mtendaji/ofisa wake?
Au Kuna vita hapo? Maana duka lenyewe Lina miezi 8 tu tangu kuanza.
Mwananchi wa kawaida ninayetafuta kutoka lkn naona kama faida yote itaoshia kwenye Kodi.
Naombeni ushauri wanazuoni wazalendo