johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,653
- 143,028
- Thread starter
-
- #21
Hilo la kura hata Cecil Mwambe mtamwibia mwezi disemba hapo Ufipa atakapompiga chini bwashee Mbowe!aliyewateuwa alizani wataishia tu kuiba kura za wapinzani kumbe wanaiba hadi mali ya umma.
Naona kapoint fulani hapa!Unachosahau ni dhumuni na nia ya makada kuwepo hapo kuw ani UCHAGUZI, MACCM sikuzote yanawaza Uchaguzi tu, Kama wakurugenzi wasingekuwa wanasimamia uchaguzi hakika, wasingejazwa hapo makada.
John, vyeti vyangu huviwezi, nilimaliza UDSM 1986! Faculty of science (kulikuwa na heshima kubwa pale, chuo kikiwa kimoja tanzania!) . Ulikuwa hujazaliwa, may be na hao......//// Kitambi siyo mwenzangu, hao ni chekechea na vidudu!Hahahaaaa...........!
Lete vyeti vyako bwashee tukupe shavu..........si unawaona wenzako akina Katambi!
Nakumbuka wakati ule walikuwa wanasema practically wanafunzi wa Dar tech na Arusha tech ni bora kuliko nyie wa Mlimani.John, vyeti vyangu huviwezi, nilimaliza UDSM 1986! Faculty of science (kulikuwa na heshima kubwa pale, chuo kikiwa kimoja tanzania!) . Ulikuwa hujazaliwa, may be na hao......//// Kitambi siyo mwenzangu, hao ni chekechea na vidudu!
sasa usipanic namna hii.Hilo la kura hata Cecil Mwambe mtamwibia mwezi disemba hapo Ufipa atakapompiga chini bwashee Mbowe!
Hahahaaaa.......!sasa usipanic namna hii.
kwani atakuwa ndiyo wa kwanza kurudi CCM ??Hahahaaaa.......!
Ninavyomjua Cecil Mwambe mkimuibia kura tu anarejea CCM hilo nakuhakikishia.
Hapana.......watarudi wengi hata Mbowe ruzuku ya chama ikikatika 2020 atarejea CCM.kwani atakuwa ndiyo wa kwanza kurudi CCM ??
haya.Hapana.......watarudi wengi hata Mbowe ruzuku ya chama ikikatika 2020 atarejea CCM.
Wasalimie machame!haya.
una lingine??
Kuhusu nini?!!ehhe,
kuna lingine?