nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,858
- 2,348
Sijawahi kufika ulaya, ila naionaga ulaya kwenye tivi kila siku, hivyo nimewahi kuona makaburi yao kwenye tv nikacompare na yetu
Sasa, hivi kwa nini makaburi yetu huku afrika hayako katika mpangilio, mamiti majani yanaota tu hakuna maua ya kupendeza kunatisha pengine watu wanaamini kuna mizimu inakaa, hakika huwezi kubaki peke yako
Halafu makaburi ya we zetu, yamepangiliwa kuna vinyasi vile vya bustani I kuna maua mazuri kuna pendeza unaweza kupunga upepo makaburini, unaweza hata ukalala huko ukiwa peke yako bila kuogopa kutokewa,
Kwani tumekwama wapi