Makabila Ya Wafugaji ni Shida.

Hahaaaaa

Usinambie na wewe ni jamii hiyo!! Sio kosa lako kwakuwa hukujiumba ila kwa aina ile ya ustaarabu hapana aseeeee daaaah! Mishipa ya fahamu za walau kajiaibu ka kibinadamu ilishakata yoote
Ila kuna wafugaji wengine wako safi kabisa mzee mwenzangu, mfano ni Lowasa, ni kutoka ndani ya jamii hizo hizo za wafugaji, Au na yeye ananuka maziwa mzee mwenzangu [emoji41]
 
Pepeta ndio nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna wafugaji wengine wako safi kabisa mzee mwenzangu, mfano ni Lowasa, ni kutoka ndani ya jamii hizo hizo za wafugaji, Au na yeye ananuka maziwa mzee mwenzangu [emoji41]
Sidhani kama ananuka yule na sio jambo jepesi
 
😂😂😂 yani umeelezea vzr mpk nikatengeneza image kbs ya tukio tajwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…