Makabila Ya Wafugaji ni Shida.

Unamaanisha wanaume wa mikoani mkuu?
 
Kuna siku nimepanda bus toka Mpanda kwenda Mwanza njiani wakapanda hao jamaa aiseeeee ni wana kelele hlf wanajaaaamba sijwahi ona! Hali ya hewa ilichafuka ndani ya bus ikawa kero. Halafu wanakula kula njiani ni hatari

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nenda na ifakara utajilaumu kwann umesafiei
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nenda na ifakara utajilaumu kwann umesafiei
Hiyo safari ya lfakara ndio balaa, jamaa walipanda ndani ya bus na kitu inaitwa pepeta kama sijakosea- ni wanatafuna ile hadi unabaki unawashangaa na vijigalon vya maziwa ya mgando sasa wakianza kujamba woooiiiii!! Yaan hadi kizunguzungu kinakushika daah! Unaanza kuhisi labda kuna mtu kanya kabisa aiseee wale jamaa ni hapana
 


mbalizi nakufa huku mmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yes pepetaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mbalizi nakufa huku mm[emoji23][emoji23][emoji23] yes pepeta[emoji23][emoji23][emoji23]
Enheeeee...sasa imagine watu wana debe zima la pepeta wanatafuna bila kukoma na makelele yao yakiendelea , nyingine zimetapakaa pembezoni mwa midomo hadi kichefuchefu, mbaya zaidi uwe umekaa jirani nao ndio utanyeshewa mvua ya mimate hadi utatamani mwavuli.

Ni jamii ya aina yake aseeeee
 
Kwwnye Bus mmoja anakaa siti no 2 na mwingine number 60 wanaanza story; acha kabisa safari ya masaa 8 utaiona ka ya miaka 5
 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚leo umeamua kututukana liveπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan had nimepaliwa jamanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..live long jf jaman khaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo umeamua kututukana live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan had nimepaliwa jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..live long jf jaman khaaa
Hahaaaaa

Usinambie na wewe ni jamii hiyo!! Sio kosa lako kwakuwa hukujiumba ila kwa aina ile ya ustaarabu hapana aseeeee daaaah! Mishipa ya fahamu za walau kajiaibu ka kibinadamu ilishakata yoote
 
Hahaaaaa

Usinambie na wewe ni jamii hiyo!! Sio kosa lako kwakuwa hukujiumba ila kwa aina ile ya ustaarabu hapana aseeeee daaaah! Mishipa ya fahamu za walau kajiaibu ka kibinadamu ilishakata yoote


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mie nilikua nawachukia zaman yaan nikisikia wajomba wanakuja tunanuna balaa maana tunajua ustaarabu unarudi kwao..siku hizi nawapenda tu nafanyaje sasa na ndo nilomozaliwa!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilikua nawachukia zaman yaan nikisikia wajomba wanakuja tunanuna balaa maana tunajua ustaarabu unarudi kwao..siku hizi nawapenda tu nafanyaje sasa na ndo nilomozaliwa![emoji23][emoji23]
Hahaaaa..

Ni sehemu ya maisha tunavumiliana hatuna namna.

Ila kusema ukweli hao wajamaa ukibahatika kusafiri nao mmepanda chombo cha usafiri pamoja nao, jiandae kwa kuumwa kama sio kichwa basi homa kali na pua ndio huwa nawaza sijui itaoza! Mweeeh!
 
Hahaaaa..

Ni sehemu ya maisha tunavumiliana hatuna namna.

Ila kusema ukweli hao wajamaa ukibahatika kusafiri nao mmepanda chombo cha usafiri pamoja nao, jiandae kwa kuumwa kama sio kichwa basi homa kali na pua ndio huwa nawaza sijui itaoza! Mweeeh!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚my ribs..dah leo umefunguka vyema kbs..ht humu wamo tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pepeta! kipindi cha kuvuna mpunga ndio zinakuwa nyingi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…