Muharango
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,663
- 1,033
Tatizo umezaliwa mjini, ebu Kaulize wazazi wako vizuri watakuambia (Naamini ipo).Mimi ni mkurya original (mnyabasi) ninekuambia kwenye koo zetu hiyo kitu hatuna. Wee ni koo gani?
Tatizo umezaliwa mjini, ebu Kaulize wazazi wako vizuri watakuambia (Naamini ipo).Mimi ni mkurya original (mnyabasi) ninekuambia kwenye koo zetu hiyo kitu hatuna. Wee ni koo gani?
Tatizo umezaliwa mjini, ebu Kaulize wazazi wako vizuri watakuambia (Naamini ipo).
Nani huyo?
Koo yenu inaitwaje?Kny koo yetu hatuoi
Koo yenu inaitwaje?
Kutaja koo hapa kunaondoa maana ya lutumia USERNAME.Koo yenu inaitwaje?
Kwahiyo ninyi wakurya kuna baadhi ya koo zinaruhusu kuoa binamu na sio utaratibu wa kabila lenu zima.Unataka nikutajie mara ngapi mura
Jibu swali we ni koo gani? Nimezaliwa mjini na kijijini nimekaa miaka karibia saba isitoshe nilivyomaliza shule nilirudi kufanya kazi huko.
Nilikuwa karibu sana na babu yangu mambo mengi alikuwa akinisimulia.
Mbona kama mnachanganya maelezo wakuu, nani yuko sahihi?angusI[654321]. Alafu sijaelewa mantiki yako, sijui unabisha nini wakati unaambiwa kuona kwa binamu kupo hata kwenye Ukoo wenu!
angusI[654321]. Alafu sijaelewa mantiki yako, sijui unabisha nini wakati unaambiwa kuona kwa binamu kupo hata kwenye Ukoo wenu!
Hajielewi yule Kazaliwa mjini alafu bado anabisha tu!. Kwa sababu katika Ngano na Soga tulizokuwa tunasimuliwa sijawahi kuambiwa kitu kama hicho "kwamba ukoo fulani Binamu hawaoani na ni kwa sababu 1,2,3."!.Mbona kama mnachanganya maelezo wakuu, nani yuko sahihi?
Nimeishakujibu hapo ndugu,mbona unakuwa sio Great Thinker wewe!.Mbona kama mnachanganya maelezo wakuu, nani yuko sahihi?
Duh, kumbee. Ahsante kwa kutujuza!Nasikia Evelyn Salt, Madame B na data ni wakurya, hebu waulize watakuambia mila na desturi zao zilivyo.
Alifanyaje?Wakurya hulelewa ktk mazingira/malezi ya kuwafanya wahimili kufanya kazi kwenye mazingira magumu eg. Jeshi n.k, wakurya ni wakarimu, wakurya wengi wanajua kuwa wizi ni njia halali ya kupata kipato(japo siyo wote), wakurya ni watafutaji wa mali ndiyo maana wametapakaa mijini na kila sehemu, wakurya ni jasiri bila kujali jinsia yao labda kama amekulia mjini, wakurya wanaongoza kwa kulima bangi huku wakisema kuwa ni dawa, wanakeketa na kutahiri wanaume, wanaoa wanawake wengi japo siyo wote, wanaoa binamu wa shangazi na mjomba ila siyo wa mama mdogo, wanauwezo mkubwa wa kurusha mishale kwa shabaha, pia ni wawindaji ktk mapori madogo na makubwa, wanapenda kumiliki silaha kwa ajili ya kujilinda au kuibia (kwa mfano: MWITA CHACHA MARWA,huyu alikuwa mwanajeshi aliyepigana VITA YA UGANDA lakini alichokifanya Tarime baada ya vita,imebakia stori).
Hajielewi yule Kazaliwa mjini alafu bado anabisha tu!. Kwa sababu katika Ngano na Soga tulizokuwa tunasimuliwa sijawahi kuambiwa kitu kama hicho "kwamba ukoo fulani Binamu hawaoani na ni kwa sababu 1,2,3."!.
Haya bhana ila mpe jibu mtoa mada aliye zaliwa mjini kama wewe ila anafahamu kwamba "Binamu wa Kikurya wanaruhusiwa kuoana"!Kuzaliwa mjini sio hoja, miaka saba niliyokaa kijijini na babu yangu was natosha kufaham Mika na desturi zetu.
Utakuwa mwikoma wewe, ndio maana unaogopa kutaja maana Sifa zenu unazijua
Haya bhana ila mpe jibu mtoa mada aliye zaliwa mjini kama wewe ila anafahamu kwamba "Binamu wa Kikurya wanaruhusiwa kuoana"!
Duh hatari kwahiyo hawakataliwi wanapewa tu papuchi kiulainiKwa jinsi wanavyo piga wake zao, eti wakati wa kutongoza wanabeba visu, mapanga, nyundo ukiwa wakataa wanakumaliza hapo hapo
Mbuya mura,Mbona hakuna Mukurya yeyote ariyechangia haboo?? Akichangia mumocha tuu ntakuambieni. Hao woote wariochangia naona ni baryisia tuu na basaghani mtaiya kibharaa
Wee sisi kidogo wanatusumbua wamang'ati sio wasukumandio kabila pekee linaloogopwa na wamasai