mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
Hapa tanzania kuna makabila mengi sana ila linapokuja swala la mapenzi hutofautia kabisa, kwa wale wa mkoa wa Mara hasa Wajita. Pale kijana anapo ao basi huwa wana expect kuwa bikra sasa ule usiku wa kufunga ndoa basi mawifi utandika shuka nyeupeee kitandani ili kuakikisha kaka yao kapata kitu bikra basi huo usiku mtafanya mambo yenu ila kesho yake asubuhi bibi harusi hupeleka ile shuka kwa mawifi zake ili waone damudamu kwenye shuka. Je kabila lako lina mambo gani inapokuja kwenye mambo za bikra?