MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,590
Duchess of Alba, bibi wa miaka 85 anayetoka katika familia ya kifalme, ambaye annaminika kuwa na utajiri mkubwa kuliko taifa zima la Monaco, juzi alifunga ndoa na mchuchu wake mwenye miaka 20 kasoro kuliko yeye, umri ambao ni sawa na mwanawe wa kwanza.
Athari za wingi wa miaka zinajionesha katika uso wake,lakini bado yuko ngangari.
Mwanzo, watoto wa Alba walikuwa wanakataa ndoa hiyo, lakini hivi karibuni aliwarisisha wanawe wote sita mali zake, na kwa tukio hilo, inaonesha walilegeza msimamo na kumruhusu mama yao kuolewa.
Ukitaka kujua zaidi, fuatilia hapa: Duchess Of Alba, Cayetana Fitz-James Stuart, Weds Alfonso Diez (PHOTOS)