Bibi wa Miaka 107 Anatafuta Mume wa 23 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibi wa Miaka 107 Anatafuta Mume wa 23

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 5, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  <table class="ecxecxecxMsoNormalTable" style="margin-left: 3.5in; width: 368.25pt;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="491"><tbody><tr><td style="padding: 3.75pt 0in 0in 7.5pt; width: 368.25pt;" colspan="3" width="491">Bibi wa Miaka 107 Anatafuta Mume wa 23
  </td></tr> <tr> <td style="padding: 3.75pt 0in 3.75pt 3.75pt; background: rgb(225, 225, 225) none repeat scroll 0% 0%; -moz-background-clip: border; -moz-background-origin: padding; -moz-background-inline-policy: continuous; width: 186.05pt;" bgcolor="#e1e1e1" valign="top" width="248">
  [​IMG]
  Bibi Wook Kundor
  </td> <td style="padding: 7.5pt 0in 0in 7.5pt; background: rgb(225, 225, 225) none repeat scroll 0% 0%; -moz-background-clip: border; -moz-background-origin: padding; -moz-background-inline-policy: continuous; width: 179.7pt;" bgcolor="#e1e1e1" valign="top" width="240"> Tuesday, September 15, 2009 7:32 AM

  Bibi mwenye umri wa miaka 107 wa nchini Malaysia ambaye alishaolewa na kuachika mara 21 amesema yuko tayari kuolewa na mwanaume mwingine kwa mara ya 23 kwasababu anahofia kuwa mume wake wa 22 anayeishi naye hivi sasa anaweza kumkimbia na kutafuta mwanamke mwingine mwenye umri mdogo.
  </td> <td style="padding: 7.5pt 0in 0in; background: rgb(225, 225, 225) none repeat scroll 0% 0%; -moz-background-clip: border; -moz-background-origin: padding; -moz-background-inline-policy: continuous;" bgcolor="#e1e1e1">
  </td></tr> <tr> <td style="padding: 0in; width: 368.25pt;" colspan="3" valign="top" width="491"> Baada ya kuolewa na wanaume 21 na kuachika, bibi mwenye umri wa miaka 107 wa nchini Malaysia amesema kuwa anahofia kukimbiwa na mume wake wa 22 anayeishi naye hivi sasa ambaye miezi miwili iliyopita alikamatwa akitumia madawa ya kulevya.

  Bibi Wook Kundor alipata umaarufu duniani baada ya kuolewa kwa mara ya 22 na mwanaume ambaye amemzidi jumla ya miaka 70.

  Hivi sasa bibi Wook hana imani kabisa na mumewe Muhammad Noor Che Musa mwenye umri wa miaka 37 ambaye hivi sasa yuko kwenye kituo cha kurekebisha tabia akipatiwa matibabu ya kuacha utumiaji wa madawa ya kulevya.

  Bibi Wook ameishaanza kusaka mume wa 23 kwani anahofia Muhammad akishatoka kwenye kituo hicho na kuacha tabia yake ya kutumia madawa ya kulevya anaweza kumkimbia na kutafuta mwanamke mwingine wa rika lake.

  "Katika siku za hivi karibuni kuna hofu imeniingia" alisema bibi Wook huku akiwa ameshikilia picha yake.

  "Najua kwamba mimi ni mwanamke niliyezeeka. Sina umbile la kuvutia tena na kwa umri wangu siwezi kumvutia mwanaume yoyote"

  "Nia yangu ya kuolewa tena ni kuepuka upweke na si kwa sababu yoyote ile" alisema Wook na kuongeza kuwa anajihisi mpweke sana wakati huu ambao mumewe yuko mbali.

  Bibi Wook alisema kuwa angependa kusherehekea
  sikukuu ya Eid el-Fitr wiki ijayo akiwa pamoja na mumewe.

  Wook alisema kuwa ana mpango wa kumtembelea Muhammad kwenye kituo chake cha kurekebisha tabia jijini Kuala Lampur iwapo majirani zake watampeleka huko kwa gari.

  Muhhamad alifunga ndoa na bibi Wook miaka mitatu iliyopita akisema kuwa urafiki wa karibu na heshima uligeuka kuwa mapenzi ya kweli.

  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...