Majuto ya Chid Benz

Ajikabidhi kwa Olumba olumba obu hakika hashindwi kumfungua kwa njia za Nee.a
 
Hawa wasanii huwa wanaingia kwenye mikataba ya kuuza nafsi zao, hiyo ndio root cause...

Hii mambo sijui kutumia madawa, vilevi n.k ni matokeo...
 
Daah Chidy,miaka hiyo akiwa kwenye kilele cha ubora,tulikutana uwanjani pale kinesi, kwenye mashindano ya Kinesi cup, alikuwa mtu poa sana, story mbili tatu tukapiga, lakini alikuwa na wapambe kama wanne hivi........huyu jamaa alikuwa na kipaji kikubwa sana
 
We ni kitoto cha 2005, chid alikuwa na bode la kwendaa, utakuwa umemjua akiwa teja
Pole sana. Nadhani ninyi afya zenu ni za mgogoro au shule pia shida. Bode ni nini? Ukisema Chidy alikuwa na mwili jumba na Kalapina utasemaje? Sisi tunazungumzia music waliokuwa wanafanya Hard Blasters, Diplomatics, WWA, GWM, 2 Proud kabla hajawa Mr. 2 au nyuma hapo akina Saleh Jabir.

Ni aibu nije shindana na wewe kizazi cha akina Chidy Benz. Hoja ni huo mwili ambo ninyi mnaona jumba. Nmekustahi sababu najua shida ni elimu na kuzoea wanaume hovyo wa JF. Kutosababisha wewe uzaliwe haimaanishi unikosee heshima.
 
Wenda tafsiri ya "mwili jumba" ndo hujaielewa au unayo ya kwako kichwani mkuu! Anyway utakavyoelewa, elewa hivyo hivyo. 😁
Nipatie ya kwako. Una uzito gani? Biceps, Chest, neck na shoulders ukipima kwako zinafika ngapi? Pengine kwako wewe alikuwa mwili jumba nisikulaumu. Ninyi watoto wa siku hizi hamna afya kabisa. Hamli chakula bora na lishe hampati.
 
Kitoto cha 2005 maana hata hao wa 2000 wanamjua chid yule,, kalapina apate wapo bode' alilokuwa nalo chid!!!! Kwamba wanaume wa jf ni wa ovyo, we wa maana umefata nini humu, kojoa ulale ukue fala wewe
 
Umepaniki for nothing. Acha kudandia wanaume mi sinunui na sitaki takataka kama wewe. Huna elimu, una stress, umeshachezewa na watu wengi humu JF.
 
Mkuu umefika mbali. 😁
 
Kitoto cha 2005 maana hata hao wa 2000 wanamjua chid yule,, kalapina apate wapo bode' alilokuwa nalo chid!!!! Kwamba wanaume wa jf ni wa ovyo, we wa maana umefata nini humu, kojoa ulale ukue fala wewe
You are a hoe/skank dont throw yourself on me i aint use no slut.
 
Umepaniki for nothing. Acha kudandia wanaume mi sinunui na sitaki takataka kama wewe. Huna elimu, una stress, umeshachezewa na watu wengi humu JF.
Hizo hela za kuninunua na nguvu za kunichezea unazo sasa?? Au kujishaua tu
 
Sema mzee baba sometimes kama unaona mtu anashindwa kuona hoja yako basi mpotezee tu,haina haja Kuja kwenye njia kama hizi
Nlishafanya hivyo but kanaendelea kunifuata fuata. Mi huwa nakaa mbali na hivi vinuka mkojo sasa vinaona kama navidharau. Which is true. Usijali. Peace and love si unajua mi huwa sina maneno na mtu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…