Majuto ya Chid Benz

Huyu Chidi in his prime, nilikutana nae Nairobi Eastleigh akiwa na Nonini, Gabu wakishoot ngoma ya Kadhaa, Chidi alikuwa na walinzi wanamlinda, mwili jumba yupo na vest tuu.

Chidi wa kukaa hotel nyota tano, back in the days. Kweli kesho ni fumbo.
Mimi kuna mtu namjua alikuwa anatumia madawa tokea mwaka 2000 ameteseka sana ila cha ajabu nimemuona mwaka jana December kanenepa na ana afya nzuri hatumii tena madawa ya kulevya nilishangaa sana wenzake aliokuwa anatumia nao wameshafariki mda sana ila yeye kaacha na bado yupo
 
Yeah wapo wengi ni maamuzi tu na juhudi mda mwingine
 
He decide to change, na akaweza
 

Bwa mdogo poda, sababu wanatumia sindano, wengi wanapata na ngoma/waya. Poda sio ni janga.
 
Mh. RAIS wetu ajaye, kwanza naomba nichukie muda huu Kwa heshima na taadhima nikusalimu pia nikupe pole ya Majukumu ya mchana kutwa.

Mh. Raisi ningependa ukipata wasaa uje na ANDIKO LAKO KUHUSU MADAWA YA KULEVYA UTA DEAL NAYO VIPI IKIKUPENDEZA MH.RAIS WETU UTUELEZEE

MAANA WEWE NI GENIUS UFAFANUE TOFAUTI YA ""HEROIN"" na "" COCAINE"" Watu gani hupata madhara zaidi kwenye hivyo vilevi tajwaa.

Mwisho kabisa mikupongeze kwa kujitoa Kwako hapa jukwaani kujibu/ kuelezea na kutolea ufafanuzi Mara kwa Mara huu ni upendo mkubwa kwa watanzania WENGI ndani na nje ya mipaka yetu ubarikiwe Sana Sanaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…