shangaa mkuu " jinsi watu wanavyo jinadi kuwa ni mambo safi humu then anatokea mdau anasema kuwa ameshawahi kukutana na bar maid ambaye ni mwanamke member wa Jf ' Aisee hiyo ni habari ya kustaajabisha sanaHahahaha, asee
shangaa mkuu " jinsi watu wanavyo jinadi kuwa ni mambo safi humu then anatokea mdau anasema kuwa ameshawahi kukutana na bar maid ambaye ni mwanamke member wa Jf ' Aisee hiyo ni habari ya kustaajabisha sana
AiseeHahahahahahah, ni noma mkuu kuna moja niliwahi ivutia whatsapp kucheki kumbe ni baamed af kolo kinoma nikaona isiwe kesi, since then no shobo humu! Tuchat tu yaishie hapa
kuna Yule anajiita Madame B daah aseee .ukija kumwona daaah waweza kimbia
Kawaida yenu slay queensNataka vya bei juu mimi
Eh Mungu baba naomba umsamehe mtu huyu maana hajui alinenaloHuyu mdada anayeitwa cariha ni genius sijui kama analitambua hli
Kwa hyo na wewe unajisifia kwamba ni mzuri?Binafsi nina bahati ya kukutana na wanawake wazuri wenye mashepu na elimu nzuri. Wengi ni marafiki zangu. Wapo ambao ni kama mama zangu humu ambao tunafanya nao biashara za hapa na pale. Kukutana na mwanamke mbovu hutegmea na mwanaume pia. Vitu vizuri huwaendea wazuri.
Kumbe una makengezaHahaaaaa makengeza tena nikwambia Kuwa mwanaume rijali uache utoto
ndio wanavyo jinasibu mkuu " so sisi twafuata ilani zao tu tutafanyajeOsterbay ya wapi humu..hizi fake I'd zinaficha mengi sana.
Kama hvyo ndivyo uwazavyo...umewaza vema piaEh Mungu baba naomba umsamehe mtu huyu maana hajui alinenalo
Kwa hyo na wewe unajisifia kwamba ni mzuri?
Makondaaa ongeza jokajeusi kwenye list yako tafadhali
Halafu pia mashoga kama jj huwa wanakuwaga na connection na madem wakali visuuu ambao sisi marijali hatulali usiku na mchana kuwaza tuwaingie kwa gia ganiNiite Joka Jeusi sukari ya warembo
Mzee wa chura unamuona mwenzio?Pale mzee wa pm anapoibukia huku!
Sio bora ingekuwa dume lenzio,kakutana na kituko hiko hatariiiPaka kala nyau...nyau kala paka..!
Pole mzee baba.! Umekutana na dume jenzio eeh?