Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Aiseee!Baba Gluk pole na yaliokusibu baba, mimi nimekuelewa sana lakini usidhani uko peke yako kwenye maswahiba hayo kuna wengi yamewakumba hapa wanaugulia maumivu kimya kimya. Nawafahamu kadhaa waliwahi kuvuka hadi mikoa wengine wakipanda ma dream liner yale madege ya magufuli na mahasara kibao, wamefika wamekodi mahoteli ya gharama sana wanajiandaa kuua mtu, mtu mwenyewe anapojitokeza na kuona jinsi alivyo ni majuto makubwa....wapo. Wapo waliokwenda kupokea ugeni ubungo tena usiku mnene wakingatwa na mbu kusubiri vitamu na mwisho wakajutia sana kwa walichokiona.....wapo. Nakwambia wapo hapa. Usilie sana mkuu wapo wengi.
Mimi nakuwa ndugu mtazamji tuu.

